Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakufanya nini mkuu??? Upo nae nje bila shaka,,,,, ombi langu usije rudi bila marinda!!!!!
 
Wakuu naombeni kujua alipo ndugu yetu mpendwa lowassa,

Tangu arudi kwenye chama chetu mahiri cha ccm, chama cha wananchi ,sijawahi tena kumsikia ndugu yetu huyu.

Hata leo hajajitokeza kwenye kumuaga mengi .

Yuko wapi mzee manywele wetu?
ICU
 
Wakuu naombeni kujua alipo ndugu yetu mpendwa lowassa,

Tangu arudi kwenye chama chetu mahiri cha ccm, chama cha wananchi ,sijawahi tena kumsikia ndugu yetu huyu.

Hata leo hajajitokeza kwenye kumuaga mengi .

Yuko wapi mzee manywele wetu?
Swali hili linamuhusu mwenyekiti aliyempokea
 
Good riddance, alileta madhara mengi zaidi CHADEMA kuliko mazuri. Wacha achunge ng'ombe ndo kazi anayoweza.
Moja ambalo sitakaa nisahau ni kwenda kupiga kampeni majukwaani Kenya kwenye uchaguzi wao wa 2017...Dah Chadema walishindwa kumtetea
 
....Mkuu, kwanza ungerekebisha kichwa cha habari cha taarifa yako...
Wewe mwenye ndio umetujulisha kuwa Mzee anaumwa sana ndio maana hakuweza kuhudhuria Msiba wa Mzee wetu Mengi....halafu tena hapo hapo tena unatuuliza 'kwa nini'??[emoji848][emoji848]... Sijakuelewa.
 
Kuna kipi kimemkuta Lowassa!
Mbona sijamuona kwenye msiba wa R. A. Mengi na sio kawaida yake kutohudhuria misiba kama hiyo!

Mwenye taarifa Kuna nini kimemsibu mzee wetu huyu wa 'mabadiliko'?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom