Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,896
13,434
Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, hayati Edward Lowassa.

“Yalikuwa ni mapenzi tu kwa baba yetu Lowassa,” haya ni maneno ya Benedict Michael Mwakanyamale (43), aliyeshambuliwa jana kwa kupigwa ngumi wakati akiomboleza msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, hayati Edward Lowassa.

“Mimi ni mkazi wa hapa Mbauda na hadi kutoka pale barabarani yalikuwa ni mapenzi tu kwa baba yetu tukitaka kumpa heshima za mwisho baada ya kutupambania sana vijana enzi ya uhai wake. Lakini, badala yake nikaambulia kofi la kwenye taya. Kwa sasa najiandaa kwenda Ngarash kushiriki mazishi yake, ili kumpa heshima anayostahili,” amesema Chuma.

“Yaani kupigwa kwangu hakuzuii kabisa kwenda msibani maana sijaumia hivyo, hainikatishi tamaa na hii ni falsafa yetu makamanda wote majasiri, lazima niende msibani kutoa heshima za mwisho kwa mzee wetu,” ameongeza

Source: Mwananchi
 
Screenshot_20240216-175115.jpg
 
Anaonekana ni mlevi fulani hivi wa kongo. Pumbavu zake akome kusogelea misafara ya wakubwa yenye ulinzi mkali anaweza kuawawa palepale. Misafara ya wakubwa ina itifaki yake, na iwe funzo kwa viherehere wengine wanaopendapenda kusogelea wakubwa bila kujali itifaki
 
Ni swala la muda tu Arusha itakuja kuwa sehemu ya hovyo sana. Inaweza hata ikapoteza hadhi yake.

Kutakuwa na matajiri sana hasa wageni na masikini sana choka mbaya tabia za hovyo wakutosha.

Zisipofanyika juhudi ni muda tu utaongea.
 
Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, hayati Edward Lowassa.

“Yalikuwa ni mapenzi tu kwa baba yetu Lowassa,” haya ni maneno ya Benedict Michael Mwakanyamale (43), aliyeshambuliwa jana kwa kupigwa ngumi wakati akiomboleza msiba wa Waziri Mkuu mstaafu, hayati Edward Lowassa.

“Mimi ni mkazi wa hapa Mbauda na hadi kutoka pale barabarani yalikuwa ni mapenzi tu kwa baba yetu tukitaka kumpa heshima za mwisho baada ya kutupambania sana vijana enzi ya uhai wake. Lakini, badala yake nikaambulia kofi la kwenye taya. Kwa sasa najiandaa kwenda Ngarash kushiriki mazishi yake, ili kumpa heshima anayostahili,” amesema Chuma.

“Yaani kupigwa kwangu hakuzuii kabisa kwenda msibani maana sijaumia hivyo, hainikatishi tamaa na hii ni falsafa yetu makamanda wote majasiri, lazima niende msibani kutoa heshima za mwisho kwa mzee wetu,” ameongeza

Source: Mwananchi
Aende wakammalizie kabisa jinga kweli bora ndugu zake wangemfanya msukule wajipatie utajiri.
 
Hii nchi ni noma aisee, wandishi washamfukuzia mapema tu
 
Anaonekana ni mlevi fulani hivi wa kongo. Pumbavu zake akome kusogelea misafara ya wakubwa yenye ulinzi mkali anaweza kuawawa palepale. Misafara ya wakubwa ina itifaki yake, na iwe funzo kwa viherehere wengine wanaopendapenda kusogelea wakubwa bila kujali itifaki
Ushamba tuu wa huyo jamaa aliyempiga ngumi, mtu aliyefuzu good training hawezi kamwe kumpiga muombolezaji mpaka aanguke, hizo ni sifa za kijinga.
 
A real soldier once you fall/fail, faster you standup there you go.
Life goes on..... Come on.
Yaliyo pita si ndwele tugange yajayo...
 
Ushamba tuu wa huyo jamaa aliyempiga ngumi, mtu aliyefuzu good training hawezi kamwe kumpiga muombolezaji mpaka aanguke, hizo ni sifa za kijinga.
Hata huyo uliyemjibu naye ni mshamba Kama mwenzake mzee wa itifaki!
Hawezi kufurahia ujinga aliofanya mlinzi kwa yule muombolezaji aliyechoka kias kile
 
Back
Top Bottom