Lowassa akishaonekana hapo Msibani ndiyo Marehemu Mzee Mengi anafufuka na Kuendelea rasmi na Maisha yake? Siku zingine acheni kuwa ' Wapumbavu ' hivi. Ni lini umewahi Kumuona Mzee Lowassa hahudhurii Misiba ya Watu hasa hawa Wakubwa na Matajiri wenzie? Ni akili ya kawaida tu kwamba ukiona haonekani hapo basi jua kuwa labda ana udhuru na hili ni Jambo la kawaida sana tu. Mbona hapo hapo katika huo Msiba wa Mzee Mengi tunawaona Watu ( Waombolezaji ) wengine tena ni Watu wakubwa na maarufu sana nchini katika Misiba ya wengine huwa hawajitokezi / hawaendi lakini huu wapo. Kwanini hujawashangaa hao na ' Focus ' yako ipo tu kwa Mzee Lowassa?