Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Inawezekana ana sababu za msingi zilizomfanya asiwepo msibani. Haimaanishi hajaguswa na msiba.

Tusitumie hili kukejeli juu ya afya za wengine hakuna aneijua kesho yake. Kuna waliomkshfu huyo mzee tokea ile 2015 akiwa CDM ila sasa wengi tumeshawasahau.
As a society tuna shida kubwa sana. Tunapenda kusikia mambo mabaya mabaya tu.
Tujifunze kuombeana heri na fanaka. Ustawi wetu sote unategemeana
 
Komredi LOWASSA, uko wapi mzee wangu?
Popote uliko, rafiki yako kipenzi ametutoka dunia akiwa ughaibuni.
Nakujulisha taarifa hii Maana Leo watu wana aga na wewe hadi muda huu huna taarifa.
Kama uko nje kwa shughuli zozote nakutakia kila la kheri, ila tweet basi, sema neno moja tu hata buriani, tukusikie.
tutakuwa nae hapa machame alhamisi,ntakujulisha
 
Wakuu naombeni kujua alipo ndugu yetu mpendwa lowassa,

Tangu arudi kwenye chama chetu mahiri cha ccm, chama cha wananchi ,sijawahi tena kumsikia ndugu yetu huyu.

Hata leo hajajitokeza kwenye kumuaga mengi .

Yuko wapi mzee manywele wetu?
 
Good riddance, alileta madhara mengi zaidi CHADEMA kuliko mazuri. Wacha achunge ng'ombe ndo kazi anayoweza.
 
Komredi LOWASSA, uko wapi mzee wangu?
Popote uliko, rafiki yako kipenzi ametutoka dunia akiwa ughaibuni.
Nakujulisha taarifa hii Maana Leo watu wana aga na wewe hadi muda huu huna taarifa.
Kama uko nje kwa shughuli zozote nakutakia kila la kheri, ila tweet basi, sema neno moja tu hata buriani, tukusikie.
Hata Mbowe hajaonekana!
 
Back
Top Bottom