Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Nafikiri kwa sasa huyu ndie Watanzania wa kilavdhehebu tunapaswa kumuombea. Na wananchi tujulishwe maendeleo yake hawa waliipigania nchi katika kipindi chao. Get well soon, Salim Ahmed Salim
Screenshot_2019-05-10-08-02-20-1.png
 
Huyu mzee Salim Ahmed Salim alituondolea njaa na vikwaxo vya kijinga alipokuwa Waziri mkuu,ni mtu wa kumuheshimu sana.
 
Nimepata hizi taarifa nikashtuka sana maana mwaka huu tumefululiza matukio mabaya mno kwa watu mashuhuri.

Taarifa zinaeleza kuwa mzee wetu amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu na hali yake hairidhishi.

Nadhani kwa sababu mzee Lowassa ni Public Figure, kuna haja ya umma kufahamishwa kama anaumwa. Si lazima kutajiwa maradhi yake in particular.

PS: Naomba sana tusijadili maradhi yake. Tuhoji tu ili kama anapambania afya yake, taifa zima tumuweke kwenye sala na maombi.
Ni Baada ya kumrudia Shetani
 
Wanazengo katika Jamii za Kiafrika na hususan hapa nyumbani mara nyingi matukio ya misiba huunganisha watu bila kujali tofauti zozote zile.

Nimesikia na kuliona ni jambo la kufikirisha kuuliza alipo Mzee Wetu Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa kwa kua ni dhahiri udhurio la viongozi karibia wote wa kitaifa wastaafu na walio madarakani wakimuaga Marehemu Mzee Reginald Mengi pale Karimjee na hata siku ya jana katika maziko yake Kilimanjaro bila uwepo wake!!

Mzee wetu huyu pamoja na wengine wachache hawajaonekana akiwepo Mheshimiwa Rais wa awamu ya Tatu. Mzee Salimu Ahmed Salim na wengineo wachache!

Swali ni moja tu WAKO WAPIII? Ni kwa dharura kutokuwepo kwao?!

Ni nia ya fikra kujua!!!

Wasaalaam!!
 
Nasikia yu mgonjwa, hata mkewe hakuonekana kwenye mazishi

Ninachofahamu

Mawaziri Wakuu wastafu watatu wapo nje kwa sababu za Kiafya
 
Baeleze. Ukishakuwa na mvi tu, halafu usizipake rangi, watu wanafikiri wewe mzee sana. Hata wenye mvi ambao wanazipaka rangi nao wanafikiri wewe ni mzee kuliko wao. Siyo hivyo bandugu. Kuna wengine zinawahi tu. Watoto wa Lowassa wana mvi tayari in their 30s na 40s. Siyo kwamba ni wazee sana.
Afu Lowassa kwa Mengi ni mdogo kama kwa miaka 14 hivi.

Hata JK amemzidi umri Lowassa kwa mwaka 1.
 
Za kunyapia mzee hali tete Ndio maana hajaonekana msibani mwa Mengi ,kumbuka alienda hata msiba wa Ruge.
Tumuombee .
 
Back
Top Bottom