Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Mzigua90 huna taarifa sahihi sio ku cheki afya kapelekwa kutibiwa. hakuna mwaka mbaya kama huu
Ila JF mnajua kuzusha nimeami. Lowassa alikua na ratiba ya kwenda Germany for check up. Hayo ya kuzidiwa mnayaleta nyie ila mzima kabisa hayuko nchini.
 
This time around kuna mutu wengi itakufa kwa shinikizo la moyo kutokana na stress, depression, na anxiety inayotokana na ama biashara kudorora ama kodi.
Atwambie chanzo cha mapato ya fedha alizokuwa anagawa, kisha aseme kama alilipia kodi inavyostahili.
Yule mwenye impala na nini sijui za kule chuga kaisha tangulia
Inasemekana hata huyu wa wiki hii ilikuwa ni msongo wa biashara kutosonga. Maana "inasemekana" ni soda pekee ndo zilikuwa zimebaki zinaleta faida. Kwenye madini alikuwa anadaiwa kodi kubwa sana
Nikiomba ushahidi utanipa
 
Umbea wa maskani za Mbagala.
Alikua anadaiwa kiasi gani?
TRA walishasema hawawezi kumfungia mtu biashara au hata kumshtaki kwa kudaiwa kodi. Sasa presha ingetoka wapi?
Mkikaa huko Mbagala na Kitunda baada ya kunywa pombe chafu hamuongelei ujinga na umaskini wenu ila ku discuss watu.
Umbea waachie wanawake walioachika wasio na mpango
Usimshutumu mwenzio na kuushuhudia uongo bure. Unajua hizo kauli za TRA zimetolewa baada ya nini kutokea? Sitaki kukuita muongo ila jijuze kilichoibua hizo kauli za kutuliza "joto la vurugu kiuchumi"!
 
Nimepata hizi taarifa nikashtuka sana maana mwaka huu tumefululiza matukio mabaya mno kwa watu mashuhuri.

Taarifa zinaeleza kuwa mzee wetu amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu na hali yake hairidhishi.

Nadhani kwa sababu mzee Lowassa ni Public Figure, kuna haja ya umma kufahamishwa kama anaumwa. Si lazima kutajiwa maradhi yake in particular.

PS: Naomba sana tusijadili maradhi yake. Tuhoji tu ili kama anapambania afya yake, taifa zima tumuweke kwenye sala na maombi.
Amelifanyia nini taifa hadi kustahili kuombewa na tafa zima?! Apambane na hali yake.
 
Anatafunwa na laana ya kukisaliti chama, WENZAKE walimpa nafasi kubwa ya kuwa mgombea,Wakakatwa aliowakuta, Heshima hiyo akapewa Yeye ! Kwanini asipate laana!?
 
Nimepata hizi taarifa nikashtuka sana maana mwaka huu tumefululiza matukio mabaya mno kwa watu mashuhuri.

Taarifa zinaeleza kuwa mzee wetu amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu na hali yake hairidhishi.

Nadhani kwa sababu mzee Lowassa ni Public Figure, kuna haja ya umma kufahamishwa kama anaumwa. Si lazima kutajiwa maradhi yake in particular.

PS: Naomba sana tusijadili maradhi yake. Tuhoji tu ili kama anapambania afya yake, taifa zima tumuweke kwenye sala na maombi.
Huyu mzee amejichanganya sana dk za mwisho.hana legacy ya kuacha.
 
the Original East.... fanya upite na huku!
 
shekhe yahaya aliacha vijana wake wengi sana humu jf.ni mwendo wa utabir tu mmeshaambiwa mzee wa watu yuko salama.msemaji wake jana kasema yuko salama na anaendelea vizur hayo ni maneno ya mitandaoni tu na washazoeya kila mara watu kutengeneza uongo.
 
Back
Top Bottom