barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Kuna uzi humu wa tetesi ulisema mgombea mmoja wa urais 2015 yu mahututi!Komredi LOWASSA, uko wapi mzee wangu?
Popote uliko, rafiki yako kipenzi ametutoka dunia akiwa ughaibuni.
Nakujulisha taarifa hii Maana Leo watu wana aga na wewe hadi muda huu huna taarifa.
Kama uko nje kwa shughuli zozote nakutakia kila la kheri, ila tweet basi, sema neno moja tu hata buriani, tukusikie.