Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Lowassa amekuwa Low profile kitambo ila misibani jamaa huwa hakosi, unewauliza kina bakhresa labda
 
Inawezekana ana sababu za msingi zilizomfanya asiwepo msibani. Haimaanishi hajaguswa na msiba.

Tusitumie hili kukejeli juu ya afya za wengine hakuna aneijua kesho yake. Kuna waliomkshfu huyo mzee tokea ile 2015 akiwa CDM ila sasa wengi tumeshawasahau.
Kuuliza ni kashfa?
Hawa ni partners in business rejea kwenye harakati rais atoke KKKT
 
Sijakupata, unasema pamoja na kurudi kwao bado wanataka kufanya yao sio?
Lowassa hutomuona kwa ajili ya hao inajulikana siyo jambo la kuficha hao walishiriki hila za kumuharibia hao wanajulikana siyo wasiojulikana hao wanajulikana ambao spidi yao imepunguzwa na daktari mahiri na makini. Dunia ndiyo hii ni duara tenda wema uende zako
 
Si kawaida yake kutohudhuria misiba mikubwa kama huu wa Mzee Mengi, Lakini pia marehemu alikuwa rafikiake mkubwa sana, iweje asionekane hata kuaga tu? Ngoja tusubiri kule Moshi labda ataonekana, otherwise sitamuelewa Mzee wangu hata kidogo...
 
Lowassa atakuwa machame rasmi kumzika mengi over.
Komredi LOWASSA, uko wapi mzee wangu?
Popote uliko, rafiki yako kipenzi ametutoka dunia akiwa ughaibuni.
Nakujulisha taarifa hii Maana Leo watu wana aga na wewe hadi muda huu huna taarifa.
Kama uko nje kwa shughuli zozote nakutakia kila la kheri, ila tweet basi, sema neno moja tu hata buriani, tukusikie.
 
wewe ulikuwepo?
 
Kwenda au kutokwenda kwenye msiba ni hiari ya mtu,kwani kutokwenda wewe umeathirika nini? kwani ulitaka lazima lowassa ashiriki?
 
Komredi LOWASSA, uko wapi mzee wangu?
Popote uliko, rafiki yako kipenzi ametutoka dunia akiwa ughaibuni.
Nakujulisha taarifa hii Maana Leo watu wana aga na wewe hadi muda huu huna taarifa.
Kama uko nje kwa shughuli zozote nakutakia kila la kheri, ila tweet basi, sema neno moja tu hata buriani, tukusikie.
Msiba hauajaisha na mazishi bado huenda akaonekana kwenye mazishi huko Machame
 
Back
Top Bottom