Nikiombe chama changu watekeleze makubaliano kati yao na Mzee Mamnvi, mzee ameshtuka kuwa wamemuingiza mjini kwa kumwambia akihame chama na baada ya siku ngapi mkwe wake ataachiwa huru sio hilo tu ni pamoja na kutomsumbua kwenye kodi alizokuwa anadaiwa, mpaka sasa moja ya hivyo kati ya vingine vyote havijaweza kutekelezwa. Hii imempa sana hasira na kuwauliza kwanini hayatekelezwi ndani ya muda walio kubaliana, wamemkalia kimya bila ya kumpa majibu sahihi, amekuwa mnyonge na kujisikia kuumwa sana na kujuta afadhali angeendelea na msimamo wake, anaumwa sana.
Watu wa karibu kuthibitisha hili fuatilieni kwa karibu sana mtapata jibu, ukienda kwa papara watakutolea nje ili upate ukweli jifanye kama hufuatilii ila ufuatilie kwa ujanja utajua hata zaidi ya haya ambayo sikutaka kuyaweka hapa.