Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Igweee,

Poleni na msiba watanzania wenzangu!!
Baba yetu na aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya nne na mgombea kipenzi cha watanzania Mh. Edward lowassa ambaye kila shughuli za misiba na shughuli za furaha amekuwa yupo mbele kwa mbele kuhuzunika na wanaohuzunika na kufurahi na wanaofurahi..Nijamwona kabisa kwenye msiba wa Dr.Mengi. Si kawaida yake kabisa...

Mungu amlaze Baba yetu Mzee wetu DR.Mengi ampe pumziko la milele.
 
Arushaaaa utamwona machameeee
 
Hivi kweli au ndo kuna uzi u asema anaumwa
 
basi huu mwaka kiboko sana mu gu tuepushe na hichi kikombe
 
Write your reply...Hata Mzee Mkapa hakuwepo.
 
bampami Watoto wake uliwaona hata mmoja pale msibani.
Igweee,

Poleni na msiba watanzania wenzangu!!
Baba yetu na aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya nne na mgombea kipenzi cha watanzania Mh. Edward lowassa ambaye kila shughuli za misiba na shughuli za furaha amekuwa yupo mbele kwa mbele kuhuzunika na wanaohuzunika na kufurahi na wanaofurahi..Nijamwona kabisa kwenye msiba wa Dr.Mengi. Si kawaida yake kabisa...

Mungu amlaze Baba yetu Mzee wetu DR.Mengi ampe pumziko la milele.
 
Inawezekana ana sababu za msingi zilizomfanya asiwepo msibani. Haimaanishi hajaguswa na msiba.

Tusitumie hili kukejeli juu ya afya za wengine hakuna aneijua kesho yake. Kuna waliomkshfu huyo mzee tokea ile 2015 akiwa CDM ila sasa wengi tumeshawasahau.
mbona kama hakuna kashfa yoyote zaidi ya kuuliza tu !
 
Back
Top Bottom