Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

cctv camera za tz ni kwere zinaifata gari hadi makutano ya barabara.

alafu zinatoa picha tofauti na cctv zingine.

Maelezo ya ajabu ajabu ya igp yaanacha maswali mengi sana kwamba kuna kitu anafahamu na anaficha
Watu wanaoendelea kusema kuwa CCTV Camera haiwezi kuchukua pia za ubora huo sijui kama walimsikiliza IGP, na kama walimsikiliza hawakumuelewa.

Hajasema kuwa picha za gari alizoonyeshwa ZILIPIGWA NA CCTV ZA HOTEL ALIPOTEKEWA MO, alisema kuwa PICHA ZA CCTV ZA HOTEL ZIMEWASAIDIA KUITAMBUA GARI inayoaminika kumteka.

Na kwa maana hiyo, pengine picha hizo za gari alizozionyesha ni za gari husika sehemu tofauti - na hii inatoa picha kuwa walifanya uchunguzi hata kubaini picha halisi za gari hilo.

Ugumu uko wapi kuelewa hapo?

Ni sawa umuone mharifu kwenye picha ya CCTV halafu ukamtambua, ukipata picha zake zinazomuonyesha CLEAR zaidi si utazitumia hizo kwa upelelezi?

Tujifunze kutumia vichwa kufikiri!
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
NA WEWE UMEJUAJE KWAMBA ZITTO HAJUI AU UNAFIKIRI ZITTO NI KAMA WEWE!!!
 
Watu wanaoendelea kusema kuwa CCTV Camera haiwezi kuchukua pia za ubora huo sijui kama walimsikiliza IGP, na kama walimsikiliza hawakumuelewa.

Hajasema kuwa picha za gari alizoonyeshwa ZILIPIGWA NA CCTV ZA HOTEL ALIPOTEKEWA MO, alisema kuwa PICHA ZA CCTV ZA HOTEL ZIMEWASAIDIA KUITAMBUA GARI inayoaminika kumteka.

Na kwa maana hiyo, pengine picha hizo za gari alizozionyesha ni za gari husika sehemu tofauti - na hii inatoa picha kuwa walifanya uchunguzi hata kubaini picha halisi za gari hilo.

Ugumu uko wapi kuelewa hapo?

Ni sawa umuone mharifu kwenye picha ya CCTV halafu ukamtambua, ukipata picha zake zinazomuonyesha CLEAR zaidi si utazitumia hizo kwa upelelezi?

Tujifunze kutumia vichwa kufikiri!
Naona umegeuka kuwa IGP
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Hahahahaha...from US to Lumumba payroll,hapa Duniani kosa vyote usije kukosa akili....
 
Kweli wewe ni Ngabu kama maNyani wengine tu!!!!!
 
Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Kama ndivyo basi waletwe scotland yard kama alivyoshauri lema,,,siro anaogopa nini ilihali hata wewe unajua uhusika wa lema na zito?
 
Dah mkuu nimeshangaa hii thread imeanzishwa na wewe, hivi hizi drama zote zinazoendelea kwanini usiamini Mo katekwa na hao hao wakina Sirro!!

Leo wanakuja picha za gari ambayo sijui ipo mnadani wanasema ni Cctv...
Povu ulilo litoa wewe sio Dogo ,linaweza kuuwa Samaki wote wa Bahari ya Hindi.

Umeandika Utumbo kabisa.
Jitahidi kuficha upumbavu wako ,ina maana hata hili suala la MO kutekwa umekosa cha kuongea? Badala yake unaandika uharo hapa
Mkuu mbona uandushi na ujengaji hoja wako sio kama mtu mwenye exposures?

Unajua mwenzetu umepata bahati ya kukaa Nchi kubwa, Nchi yenye uhuru wakuhoji, kukosoa, kuuliza, kila namna ya Uhuru.

Sasa inapotokea unajenga hoja kama Mnyatunzu wa kule bariadi hata redio hana, unatushangaza sana.

Huko Marekani umeenda kujifunza Ujinga?
Usijihangaishe sana huyo ndio Nyani Ngabu bonge la bwege hapa JF. Lakini anapenda kujipima kuwa yuko timamu wakati sivyo
Duh mishale hii yote inaelekezwa kwa Nyani Ngabu ?si mchezo

Uzuri Nyani. muzee kakwepa
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
USA babe!
Anti CCM stalwart, you make me wanna puke!
 
Zito anajua kila kitu lakini kwa bahati mbaya hujawahi kuweka wazi lolote..
 
Back
Top Bottom