Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Ficha upumbavu wako. Ni hekima ndogo tu.
 
Wambinye tu hizo goroli zake na atashika adabu!
Kwa hili sidhani kama watathubutu kufanya hilo. Trust me. Hili limekaa vibaya, ni ngumu kulitengenezea sinema.

Siro (sio Sirro) na ile press conference yake... angetulia tu kwanza. Ameacha mianya mingi sana. Angetuacha tu tumwangalie Magu akigawa 50M kwa Taifa Stars.
 
Komredi unaamini maneno ya Zito? Kwamba Siro anajua Mo alipo?
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Akili ndogo
 
  • Thanks
Reactions: AWM
Kwahiyo picha za Gari walizipata wapi? Manake wanasema Gari lilipotea lilipofika kawe halikuonekana tena. Kama picha sio za CCTV basi aliyepiga picha anajua Gari lilipo, hivyo bira shaka anajua pia waharifu walipo, manake hata picha zinaoneka zilipigwa kwa utulivu pande zote nyuma mbele na ubavuni.
Yaani Kama were ulipata dvision v. Hata ukionyeshwa mtihani mzima na majibu hutakaa ufaulu na inaonyesha haujawahi kumiliki hate biskeli .kifupi gari langu nikitaka kuona picha zake likiwa japani , mwaka 2012, likiwa bandari 2012, likiwa linakatiwa bima inawezeka kabisa
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Mropokaji ni wewe unaejiita nyani
 
  • Thanks
Reactions: AWM
Zamu hii hatutegemei kama Zito atachomoka salama. It is now too much to swallow from him. Sasa ni zaidi ya uchochezi. Ni ugaidi wa wazi wazi. Ni kuhatarisha usalama wa taifa. Lazima kuna genge liko nyuma yake.
Genge la wahuni liko huko huko kwenu
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Sasa ka siro anajua gari lilipo lililotumika kumteka kwa nini asijue alipokuawepo mo,
 
Alafu wewe kichwani hamna kitu alicho kisema nikwamaelezo ya igp alioyatoa kachukua za kuambiwa kachanganya nazake jibu kapata igp anajuwa alipo kosa nini hapo igp yupo ampeleke mahakamani wakapambane tuone ukweli
 
Wewe ndo wa kuniambia mimi kichwani hamna kitu?

Kuandika kwenyewe tu mgogoro, huo ubavu wa kujua kilichopo kichwani mwangu unautoa wapi?

Jifunze kuandika kwanza ndo uje na hayo mengine.

Juha kama jiwe wewe.
 
Chakubanga vp? Zito yupo sahihi au amekosea?
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Mungu hamfichi mnafiki.......Dr Slaa hoyeee!
 
Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Yaonyesha kuwa unafaa kabisa kuwa POLICCM, ambao hata aliemtishia Nape na waliovamia Clouds na masilaha, walitafuta vijisababu ili wasiwakamate.
Kama walivyokuwa polisi wa Makaburu ni mabingwa katika kupotosha matukio ya uharamia na kutetea uonezi na mauaji yaliyotokea mikononi mwao.

Shetani huwa anafanikiwa kwa muda LAKINI kamwe hatokuja kushinda. Amen.
 
Aje sasa huyi nyani aseme maana zitto alishasema kwamba kamanda anajua movie imeharibika script mtu kapatikana tatizo huyu bwana nyani ujuaji mwingi ila hana anachokijua pia waliogopa press ya leo ya Lema maana ongewa expose watu vibaya mno baada ya zile picha za SISI TV
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
hebu angalia chini ya uvungu wa gari[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji61] [emoji61] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Screenshot_2018-10-20_074321.jpg
 
Back
Top Bottom