Jay dinongo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 211
- 291
Wataanza kumbinya kwanza bi mkubwa wako kile kidude chake kirefuWambinye tu hizo goroli zake na atashika adabu!
Wataanza kumbinya kwanza bi mkubwa wako kile kidude chake kirefuWambinye tu hizo goroli zake na atashika adabu!
Nilienda nchi za ulaya kusalimia ndugu nkarudi baada ya miezi 3 kwa kuona fursa zote zipo tanzania..hv ndugu yangu si utakua unastress sana kubeba box...sema ongeza spidi bana usijejikuta hata ile passport ishaisha mda na gamba hujapata bado..karibu nyumbani.Mo kurudi hakuthibitishi kuwa Siro alikuwa anajua.
Nilienda nchi za ulaya kusalimia ndugu nkarudi baada ya miezi 3 kwa kuona fursa zote zipo tanzania..hv ndugu yangu si utakua unastress sana kubeba box...sema ongeza spidi bana usijejikuta hata ile passport ishaisha mda na gamba hujapata bado..karibu nyumbani.
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Njaa kitu kibaya haswa unaposhindwa kutafuta kwa mikono yako ukitegemea upewe kwakutunga uongo alafu unasema kuandika sijui hayo maneno umeyaelewaje wewe hamnazo unafanana nawasomi wa tz wana ma PhD wanatulizwa nawaganga wa kienyeji via vua viatu kunywa maji machafu wanakunywa nani msomi hapo anaeamrishwa au anaeamrisha fikiri upya punguwani ilizikutimie maandishi ndio hayo nafikiri tafuta msaada wakusomeeeeeWewe ndo wa kuniambia mimi kichwani hamna kitu?
Kuandika kwenyewe tu mgogoro, huo ubavu wa kujua kilichopo kichwani mwangu unautoa wapi?
Jifunze kuandika kwanza ndo uje na hayo mengine.
Juha kama jiwe wewe.
Si Andromeda wengine Mbinguni,Watu wanataka kwenda Andromeda, wewe bado unaongelea Marekani?