Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

MAMBO 10 KUHUSU PRESS YA IGP SIRRO.

1. Ukimtizama usoni kama una just elementary knowledge ya Psychology utagundua kuwa hakuwa anamaanisha anayoongea. Maneno ya kinywa chake na lugha ya mwili wake vilipingana kabisa.

2. Picha aliyoonesha Sirro sio ya CCTV. Ni picha tu ya kuokota mtaani ambayo probably imepigwa kwa simu.

3. Kama ni cctv kwanini haina footage? Kwanini haina tarehe wala muda wa tukio?

4. Na kuanzia lini cctv camera inapiga picha horizontal kama za kuweka instagram? Cctv footage must be aerial kwa sababu camera za cctv hazikai sakafuni, huwa zinatundikwa juu. Tizama hata zile za Bashite akivamia Clouds.

5. Awali polisi walisema CCTV zilishindwa kudetect tukio hilo. Lakini leo Sirro anasema Cctv zilionesha hadi keepleft cha Kawe. Why contradiction? Hizo zilizoshindwa kudetect mwanzoni ni zipi, na hizo zilizoonesha hadi keepleft cha Kawe ni zipi?

6. Gari iliyooneshwa na Sirro inaonekana imepaki nyumbani kwa mtu, hapo sio Collesium Hotel.

7. Gari hiyo ina pancha tairi moja na imepigwa jeki. Je wahalifu waliziba kwanza pancha then wakapiga kwanza selfie gari yao ndipo wakambeba MO?

8. Hizo plate number ni za Msumbiji lakini taarifa za TRA zinaonesha hakuna gari yenye namba hizo iliyotoka Msumbiji na kuingia Tanzania tarehe 1 September. Sirro ametudanganya.

9. Inaweza kuwa hizo ni namba za Bodaboda ama Bajaj za Tanzania zimegeuzwa.

10. Kama polisi wameona gari hiyo hadi keepleft cha Kawe na hawajui ilipoenda, kwanini wasiruhusu wachunguzi wa kimataifa ambao watatumia satelite kujua uelekeo wa gari hiyo kutokea hapo keepleft?
 
Ukishakua kibaraka wa ccm kichwani wanaingia wale minyoo wanaotokana na kinyesi cha binadamu.
 

Hahahaaaa makamanda leo nimewashika pabaya!

Tatizo lenu mko closed-minded sana.

Hamjipi kabisa nafasi hata ya kuyaangalia mambo with an open mind.

Matokeo yake ndo baadhi yenu kuja na kauli za ajabu ajabu!

Mnataka wote tuwe monolithic katika fikra zetu.

Mbaya zaidi, hata mtu akiwa ana wa troll hamuwezi kugundua hahahahaaa.

Damn fools.
 
Kwani umequote maneno ya Zitto bila kumaanisha...?

Kama umequote hayo maneno inamaana nawewe humuamini mwanasiasa.Acha upuuzi,elewa connection iliyopo kati ya Ossoro+JPM na TAL,nani ni mwanasiasa na nani ni mere mtaaluma,hala connect dots nani ambaye unafanana naye akili hakufuata ushauri wa mwanasiasa kisa ni mwanasiasa,akafuata maneno ya mwingine kisa ni Profesa.
Umepotea sana
 
Kaka ni wewe kweli, isijekua unaandika at a gun point.
Nimekuzoea unashusha vigongo kweli kweli ila leo naona kama umekua mwepesi sana..(am sorry Kaka, that the way I see)

Kwako vigongo ni ile mitazamo unayokubaliana nayo tu, eh?

Mtu akiandika mawazo tofauti, basi, anakuwa kilaza?
 
Hahahaaaa makamanda leo nimewashika pabaya!

Tatizo lenu mko closed-minded sana.

Hamjipi kabisa nafasi hata ya kuyaangalia mambo with an open mind.

Matokeo yake ndo baadhi yenu kuja na kauli za ajabu ajabu!

Mnataka wote tuwe monolithic katika fikra zetu.

Mbaya zaidi, hata mtu akiwa ana wa troll hamuwezi kugundua hahahahaaa.

Damn fools.
Ukishakua kibaraka wa CCM na akili za kawaida zinakwenda likizo.pole sana
 
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.

My nigga una-run circles!

Na Wewe Umejuaje kua yeye hajui?

Au umeamua kugeuka prophet?
 
SIJUI KWANINI WATU WA KIGOMA WANAPENDA SANA KICK NA KUONGEA
 
Back
Top Bottom