Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Watu wanaoendelea kusema kuwa CCTV Camera haiwezi kuchukua pia za ubora huo sijui kama walimsikiliza IGP, na kama walimsikiliza hawakumuelewa.

Hajasema kuwa picha za gari alizoonyeshwa ZILIPIGWA NA CCTV ZA HOTEL ALIPOTEKEWA MO, alisema kuwa PICHA ZA CCTV ZA HOTEL ZIMEWASAIDIA KUITAMBUA GARI inayoaminika kumteka.

Na kwa maana hiyo, pengine picha hizo za gari alizozionyesha ni za gari husika sehemu tofauti - na hii inatoa picha kuwa walifanya uchunguzi hata kubaini picha halisi za gari hilo.

Ugumu uko wapi kuelewa hapo?

Ni sawa umuone mharifu kwenye picha ya CCTV halafu ukamtambua, ukipata picha zake zinazomuonyesha CLEAR zaidi si utazitumia hizo kwa upelelezi?

Tujifunze kutumia vichwa kufikiri!
Kwahiyo picha za Gari walizipata wapi? Manake wanasema Gari lilipotea lilipofika kawe halikuonekana tena. Kama picha sio za CCTV basi aliyepiga picha anajua Gari lilipo, hivyo bira shaka anajua pia waharifu walipo, manake hata picha zinaoneka zilipigwa kwa utulivu pande zote nyuma mbele na ubavuni.
 
muwe mnaulizia mambo kiundani muelewe.. CCTV camera sio tu zile zilizopo pale gym unaweza pia kutrace camera zilizofungwa na watu majumban kandokando ya barabara then ukaback up muda wa tukio then unaweza kuona hilo gali km lilipita maeneo husika.
We unavyoona zile picha zilipigwa Gari ikiwa inatembea au imeegeshwa? Kama ilikuwa imepaki basi waharifu wanajulikana walipo.
 
Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Billionaire Mo wa CCM, maarufu, billionaire no 1 Mwenye umri Mdogo Afrika, ajiteke kwa kushirikiana na akina Lema wa CDM [emoji23] [emoji23] [emoji23] umefikiria vizuri Great thinker wa JF hongera sana.
 
halafu ajiteke hilibapate nini, pesa anayo, umaarufu anao!

hao ni akina msiba ndo wanaufikiri wa kichawi ili wateuliwe.
 
Ile picha aliyoshika kamanda ati ni kutoka CCTV camera inathibitisha how ignorant/incompetent the poor chap is. Huyu bwana hajui alipo Mo na kwa kweli ni wa kuonewa huruma tu
 
Mkuu mbona uandushi na ujengaji hoja wako sio kama mtu mwenye exposures?

Unajua mwenzetu umepata bahati ya kukaa Nchi kubwa, Nchi yenye uhuru wakuhoji, kukosoa, kuuliza, kila namna ya Uhuru.

Sasa inapotokea unajenga hoja kama Mnyatunzu wa kule bariadi hata redio hana, unatushangaza sana.

Huko Marekani umeenda kujifunza Ujinga?
Mkuu utamaliza nguvu bure ku argue na ngedere km hawa,
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
We msukuma wa Bariadi ukimsema sn Zitto utajikuta unakua bubu oooohooo.
 
Zamu hii hatutegemei kama Zito atachomoka salama. It is now too much to swallow from him. Sasa ni zaidi ya uchochezi. Ni ugaidi wa wazi wazi. Ni kuhatarisha usalama wa taifa. Lazima kuna genge liko nyuma yake.
 
And you're urging them on through JF. Why not go to their offices and report the matter if you feel so much aggrieved?

Itakusaidia nini wewe kama hachomoki! Na akichomoka? utaacha kumeza hayo mate?
Nyinyi mnataka watu wote wakubali yenu, hata ya upuuzi, why?
 
"Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?"

Kwa taarifa ilivyotolewa na Kamanda Sirro. Hilo nalo unashindwa kulijua kuwa Kamanda Sirro katoa taarifa? Labda ungeuliza afafanue ni vipi taarifa hiyo ilivyomfanya ajue.

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Hii inaweza ikawa kweli, lakini wewe unakokuita 'kuropoka' wafuasi wake wanaona ukweli ndani yake. Kwa hiyo usipende kuwashikia akili zao. Na sidhani kuwa unayo haki ya kufanya hivyo.

Wao pia wanaweza kukuuliza wewe, unaropoka ili iweje?

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
Unatafuta nini kwa huyu. Sifa?

Ngoma 'draw'. Waropokaji wawili!
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Umeandika mapumba.
 
Zamu hii hatutegemei kama Zito atachomoka salama. It is now too much to swallow from him. Sasa ni zaidi ya uchochezi. Ni ugaidi wa wazi wazi. Ni kuhatarisha usalama wa taifa. Lazima kuna genge liko nyuma yake.

Wambinye tu hizo goroli zake na atashika adabu!
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu wasifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.

Watanzania wenye account Uswiss aliwataja, nilikuwepo Mwembeyanga alipowataja, nakala za majina aligawa kwa waandishi wa habari. Ila Mengi ya Majina ya waliokuwemo katika Listi hiyo ni ya Watanzania wenye asili ya Asia!. Kama ulitaka awataje wanasiasa au watawala basi huo ni mtazamo wako tu, lakini aliwataja!.

Pia hoja yako ina Fallacy nyingi mojawapo ni kwamba eti kama Zitto anajua IGP anajua mahali Mo alipo basi na yeye anajua Mo alipo, Mtu akimjua mtu anayemjua mwizi haimaaninja eti na yeye anamjua mwizi huyo!.

Zitto upeo wake ni mkubwa sana anatumia deductive reasoning kuconnect dots wakati wewe unasubiri propaganda za Jiwe na unaziamini.

Siku nyingine kabla hujaparamia watu wenye I.Q kubwa sana na kuhoji fikra zao fanya tafakuri zaidi ikibidi kuwapigia simu, kuwatumia email au kuomba appointment nao ili wakueleweshe wana maana gani ili usiwe unakuja hapa JF na kuanzisha mada shallow namna hii!
 
Back
Top Bottom