Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Inasikitisha sana...

Ila hii kauli yako ya kusema...

"Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo"


Umekosea sana... wangapi husema mambo au maneno na baadae hukamatwa na kufunguliwa mashtaka, kama kusema tu jambo haina maana ni kweli lipo...

Lisemwalo lipo...


Cc: mahondaw
 
Povu ulilo litoa wewe sio Dogo ,linaweza kuuwa Samaki wote wa Bahari ya Hindi.

Umeandika Utumbo kabisa.

Na umekuja kuchangia utumbo??

Kamanda brain teh teh teh
 
kwa nini usiwachukie magaidi wanaoratibu, kuteka na kupiga risasi watanzania..
sijui huyu ni wale policcm wanaodumisha chama hadharani...
.
cctv za tanzania ni za kipekee..
1-colored
2-ni HD
3- hata ukiifunga juu inarekodi horizontally
4-hata tukio likitokea alfajiri zenyewe huonesha picha za mchana..
5-na hizi cctv huwa zinakufuatilia km kadhaa kutoka eneo la tukio..
Hivi ndio VIWONDER ambavyo kwengine hakuna..
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Sasa ndugu unadai unaishi marekani unashindana na zito kwa lipi labda kwa mfano
 
Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Inafikirisha kwa namna flani
 
kwa nini usiwachukie magaidi wanaoratibu, kuteka na kupiga risasi watanzania..
sijui huyu ni wale policcm wanaodumisha chama hadharani...
.
cctv za tanzania ni za kipekee..
1-colored
2-ni HD
3- hata ukiifunga juu inarekodi horizontally
4-hata tukio likitokea alfajiri zenyewe huonesha picha za mchana..
5-na hizi cctv huwa zinakufuatilia km kadhaa kutoka eneo la tukio..
Hivi ndio VIWONDER ambavyo kwengine hakuna..
Tatizo la watanzania ni majinga aka makondoo
 
Back
Top Bottom