pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,577
Mo kapatikana.....inasemekana watekaji wamemtupa maeneo ya Gymkhana (sijui ndo inaandikwa hvo?????) na kutekeleza lile gari aliloonyesha IGP hapo hapo Gymkhana.
IGP, Mambosasa walisema vijana wao hawalali wako kila kona ya dar wakimsaka Mo....Najiuliza tu...hawa watekaji walipita wapi mpaka wakafika Gymkhana wakati vijana wa Sirro walikuwa wametanda kila mahali, kwa nn hawakukamatwa???Nimejiuliza tu wandugu..