Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Sawa Msemaji Jeshi la Polisi ACP Barnabas Mwakalukwa
 
Eti huyu Jamaa nae kaishi Marekani,

Kiranga huko Marekani kuna watu aina hii?

Anyway, ndo mana umefurushwa kama kubwa jinga mwezio lemutuz,
 
kila mmoja anakushanbulia, angalia usiingie kwenye kule maana stress zinaleta hali hiyo

Mbona sijafa sasa kama kila mmoja ananishambulia?? Au binduki zenu hazina risasi...??
 
Kama ndio kufikiria kwao kumefikia hapo, basi it is safe to say elimu yetu bado haijafuta ujinga.
 
Wewe unajuaje kama Sirro hajui?

Vyanzo vya habari vya Zitto unavijua?

Acha kuaminiamini akina Sirro,wale muda mwingine wanapewa maelekezo,nini waongee.
"Usimwamini mwanasiasa"
By Zitto Kabwe
 
Mkuu mbona uandushi na ujengaji hoja wako sio kama mtu mwenye exposures?

Unajua mwenzetu umepata bahati ya kukaa Nchi kubwa, Nchi yenye uhuru wakuhoji, kukosoa, kuuliza, kila namna ya Uhuru.

Sasa inapotokea unajenga hoja kama Mnyatunzu wa kule bariadi hata redio hana, unatushangaza sana.

Huko Marekani umeenda kujifunza Ujinga?
Unanizungumzia mimi?

Nimefurushwa toka wapi na nani kanifurusha?
 
Mkuu mbona uandushi na ujengaji hoja wako sio kama mtu mwenye exposures?

Unajua mwenzetu umepata bahati ya kukaa Nchi kubwa, Nchi yenye uhuru wakuhoji, kukosoa, kuuliza, kila namna ya Uhuru.

Sasa inapotokea unajenga hoja kama Mnyatunzu wa kule bariadi hata redio hana, unatushangaza sana.

Huko Marekani umeenda kujifunza Ujinga?
Hii ni ya kulalia, au ya kushindia maana kule sasa ni asubuhi/mchana!
 
Ephraim wee katika ubora wako
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
 
Usikariri,huko kukariri ndiyomaana JPM anashindwa kuukubali ushauri wa TAL na badala yake anawaamini akina Ossoro na maripoti yao.
"Usimwamini mwanasiasa"
By Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom