Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Huyu mleta mada ni mnafiki wa wanafiki sasa si amejua kutokana na maelezo yaliyotolewa na huyo jamaa kwamba yamekosa correlation i.e CCTV inamfata mtu mpaka round about ya kawe, hawataki kutoa picha halisi ya kutoka kwenye CCTV bali wanadownload picha za gari ilioko msumbiji acha kujitoa ufahamu...
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Siku nyingine uwe unajishaurisha kwanza kwa kaka zako ndo unaandika ,sasa ndo mashudu gani haya ,hivi ikiwa mm ni mkuu wa shule ya chekechea ,halafu mwanao kapotea shuleni ,nagoma kukupa cctv printout ya siku mwanao kapotea nasema alitekwa na mwarabu 1 badae mlinzi wa geti anakwambia walikuwa waswahili 4 ,kisha natoa picha yenye namba za kenya nikisema ni za wasaudi arabia hivi ukisema mm najua aliko mwanao utakuwa unakosea
 
Mkuu mbona uandushi na ujengaji hoja wako sio kama mtu mwenye exposures?

Tuanzie na “mtu mwenye exposures”.

Bwa ha ha ha.

You are a mental midget.

You can’t even get simple things right.

Now on to the next claptrap....

Unajua mwenzetu umepata bahati ya kukaa Nchi kubwa, Nchi yenye uhuru wakuhoji, kukosoa, kuuliza, kila namna ya Uhuru.

Ni wapi huko ambako nimepata bahati ya kukaa? Ushawahi kuniona?

You don’t know shit. So STFU.

Sasa inapotokea unajenga hoja kama Mnyatunzu wa kule bariadi hata redio hana, unatushangaza sana.

Ujengaji hoja hauna uhusiano wowote ule ulio wa moja kwa moja kati ya mtu na eneo aishilo.

You big dummy.

Huko Marekani umeenda kujifunza Ujinga?

Marekani? Get your shit right. Which is which now?

Si umetoka kudai nimefurushwa kama Le Mutuz..??

Hujui chochote kunihusu mimi.

What else?
 
kwa nini usiwachukie magaidi wanaoratibu, kuteka na kupiga risasi watanzania..
sijui huyu ni wale policcm wanaodumisha chama hadharani...
.
cctv za tanzania ni za kipekee..
1-colored
2-ni HD
3- hata ukiifunga juu inarekodi horizontally
4-hata tukio likitokea alfajiri zenyewe huonesha picha za mchana..
5-na hizi cctv huwa zinakufuatilia km kadhaa kutoka eneo la tukio..
Hivi ndio VIWONDER ambavyo kwengine hakuna..
Kho kho kho hatari
 
Akwa hiyo wewe zile cctv cam photos unaziafiki??? Jibu ndiyo ama hapana
Wapi Kamanda Siro aliposema kuwa nakuonesheni pic toka kwenye CCTV camera? Ile ni pic yenye muonekano mzuri yenye kuonesha gari husika vizuri. Lengo watu walitambue na kuweza kutoa taarifa kwa polisi
Wanasiasa mmeona polisi walikuwa wakitoa kielelezo mahakamani.
Zito na Lema wanataka kuuaminisha umaa kuwa taarifa za nje ya CCTV si sahihi. Hata polisi wakileta kwa wananchi picha ya hao wahalifu ili umma uwatambue na kutoa taarifa mtakataa kwa kuwa si za CCTV. Acheni ujinga
 
Tuanzie na “mtu mwenye exposures”.

Bwa ha ha ha.

You are a mental midget.

You can’t even get simple things right.

Now on to the next claptrap....



Ni wapi huko ambako nimepata bahati ya kukaa? Ushawahi kuniona?

You don’t know shit. So STFU.



Ujengaji hoja hauna uhusiano wowote ule ulio wa moja kwa moja kati ya mtu na eneo aishilo.

You big dummy.



Marekani? Get your shit right. Which is which now?

Si umetoka kudai nimefurushwa kama Le Mutuz..??

Hujui chochote kunihusu mimi.

What else?

Dah!!
 
Mtoa mada wewe ndo kilaza kabisa, wewe umejuaje kama zito hajui alipo imumuhoji???? Kama ujamuhoji sasa hapo mlopokaji nani yeye au wewe??????

Na umejuaje kama siro hajui?? Umemuhoji???? Sasa kama ujamuhoji umejuaje kama zito anaropoka???

Ujuaji mwingine Wa kijinga kabisa.
 
Probably the guy is suffering from Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
 
Mtoa mada wewe ndo kilaza kabisa, wewe umejuaje kama zito hajui alipo imumuhoji???? Kama ujamuhoji sasa hapo mlopokaji nani yeye au wewe??????

Na umejuaje kama siro hajui?? Umemuhoji???? Sasa kama ujamuhoji umejuaje kama zito anaropoka???

Ujuaji mwingine Wa kijinga kabisa.

Wapi niliposema kuwa Zito hajui?

Nyie makamanda ni mazuzu kabisa!

Mimi nimeuliza. Sijatoa kauli.

Unajua tofauti baina yake?

Bure kabisa nyie.
 
Usikariri,huko kukariri ndiyomaana JPM anashindwa kuukubali ushauri wa TAL na badala yake anawaamini akina Ossoro na maripoti yao.
Nimequote maneno ya zitto mwenyewe afu unaleta blabla za kipuuzi tena kwa mambo ambayo hayahusiki na huu uzi eti TAL na Ossoro...
 
Nimequote maneno ya zitto mwenyewe afu unaleta blabla za kipuuzi tena kwa mambo ambayo hayahusiki na huu uzi eti TAL na Ossoro...
Kwani umequote maneno ya Zitto bila kumaanisha...?

Kama umequote hayo maneno inamaana nawewe humuamini mwanasiasa.Acha upuuzi,elewa connection iliyopo kati ya Ossoro+JPM na TAL,nani ni mwanasiasa na nani ni mere mtaaluma,hala connect dots nani ambaye unafanana naye akili hakufuata ushauri wa mwanasiasa kisa ni mwanasiasa,akafuata maneno ya mwingine kisa ni Profesa.
 
Huyu mleta mada ni mnafiki wa wanafiki sasa si amejua kutokana na maelezo yaliyotolewa na huyo jamaa kwamba yamekosa correlation i.e CCTV inamfata mtu mpaka round about ya kawe, hawataki kutoa picha halisi ya kutoka kwenye CCTV bali wanadownload picha za gari ilioko msumbiji acha kujitoa ufahamu...
Usijihangaishe sana huyo ndio Nyani Ngabu bonge la bwege hapa JF. Lakini anapenda kujipima kuwa yuko timamu wakati sivyo
 
Back
Top Bottom