Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

Wengine wanasema ile gari ya Sirro chini ina jeki, sijui mazingira sio collesium blah blah ....na kuita press juu huku majuzi hakuna la maana aliloongea.

Yaani hata kama Polisi labda wanakosea lakini hao waliojipa dhamana ya kuwa wasemaji wa hili wanakurupuka mno kuliko hata hao Polisi.

Tunamtaka MO kwa juhudi zote lakini ni vema tusikurupuke na matamko hadi kuishia kuzidi ku complicate issues unnecessary.

Watu wanazungumza maneno mazito kama vile wana uhakika kabisa au wanajua MO alipo! Kuweni wazi ili Watanzania wajue badala ya hakika iliyojaa mafumbo.

Alafu Lema hiyo press kesho njoo na habari mpya mzee badala ya hadithi ambazo kila siku tunazipiga humu. Kwa nafasi zenu mnaweza ku handle hili kwa tija zaidi badala ya kukurupuka kuliko hao wakurupukaji wenyewe.
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Relax, relax.... kuna kitu kinaitwa cross examination... conscious yake ilikuwa ina m-cross examine na akaangukia kweli kwenye mtego, akanasa! Huyu ni candidate mzuri wa ICC! Mwanahabari Huru
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
You clueless psycophant...Nilifikiri unazo akili kumbe umejaza tope tu humo kichwani...kama Sirro anaweza kuiona gari ya watekaji ikiwa imepaki kwa utulivu hivi kwanini asiwajue watekaji?
 
Wewe Zitto haropoki na ni msomi usimlinganishe na watu wa darasa la saba au form four za Makongo na Mgulani.
 
You clueless psycophant...Nilifikiri unazo akili kumbe umejaza tope tu humo kichwani...kama Sirro anaweza kuiona gari ya watekaji ikiwa imepaki kwa utulivu hivi kwanini asiwajue watekaji?
Na wewe imbecile kwani upelezi umeisha?
Chromosome retard walahi
 
cctv camera za tz ni kwere zinaifata gari hadi makutano ya barabara.

alafu zinatoa picha tofauti na cctv zingine.

Maelezo ya ajabu ajabu ya igp yaanacha maswali mengi sana kwamba kuna kitu anafahamu na anaficha
muwe mnaulizia mambo kiundani muelewe.. CCTV camera sio tu zile zilizopo pale gym unaweza pia kutrace camera zilizofungwa na watu majumban kandokando ya barabara then ukaback up muda wa tukio then unaweza kuona hilo gali km lilipita maeneo husika.
 
Achana na lijamaa linalojiteka lenyewe, majanga hayaishi kwake na lichama lake la flush walahi
 
Hapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.

Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Kichaa mwingine!
 
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.

Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.

Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.

Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.

Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.

Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.

Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.

Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.

Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?

Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?

Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.

Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!

We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.

Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.

Ungeweza kueleweka vyema kama ungejikita kwenye hoja za zitto kabwe bila ya kufanya personal attacks.

Ulichofanya hapo katika Kilatini kinaitwa shambulizi la "ad hominem". Hili ni shambulizi la kuacha hoja, na kuanza kumshambulia mtoa hoja.

Ukifanya shambulizi hili mara nyingi ni dalili za ugonjwa flani unaopelekea Ukichaa. Ukimwona mtaalamu wa magonjwa ya akili mapema, ugonjwa huo unatibika.
 
Muda mwingine tuwe tunaangalia watu wanatokea mikoa gani kuna wengine network hazipo ni za kubahatisha
 
Ungeweza kueleweka vyema kama ungejikita kwenye hoja za zitto kabwe bila ya kufanya personal attacks.

Ulichofanya hapo katika Kilatini kinaitwa shambulizi la "ad hominem". Hili ni shambulizi la kuacha hoja, na kuanza kumshambulia mtoa hoja.

Ukifanya shambulizi hili mara nyingi ni dalili za ugonjwa flani unaopelekea Ukichaa. Ukimwona mtaalamu wa magonjwa ya akili mapema, ugonjwa huo unatibika.

Kamanda unakijua Kilatini wewe?
 
Wengine wanasema ile gari ya Sirro chini ina jeki, sijui mazingira sio collesium blah blah ....na kuita press juu huku majuzi hakuna la maana aliloongea.

Yaani hata kama Polisi labda wanakosea lakini hao waliojipa dhamana ya kuwa wasemaji wa hili wanakurupuka mno kuliko hata hao Polisi.

Tunamtaka MO kwa juhudi zote lakini ni vema tusikurupuke na matamko hadi kuishia kuzidi ku complicate issues unnecessary.

Watu wanazungumza maneno mazito kama vile wana uhakika kabisa au wanajua MO alipo! Kuweni wazi ili Watanzania wajue badala ya hakika iliyojaa mafumbo.

Alafu Lema hiyo press kesho njoo na habari mpya mzee badala ya hadithi ambazo kila siku tunazipiga humu. Kwa nafasi zenu mnaweza ku handle hili kwa tija zaidi badala ya kukurupuka kuliko hao wakurupukaji wenyewe.

Wanaropoka tu.
 
Back
Top Bottom