YESU amenipa kazi UN

YESU amenipa kazi UN

Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

Yesu gani huyo?...Yesu yesu wa ukweli hawezi kukusaidia kupata kazi kwenye Shirika lililoundwa kukandamiza wanyonge?...Yesu ameacha kuchagua watu wenye sifa akakupa ww usie na sifa?...Yesu atakupeleka Sudan kusaidia kuchora michongo ya kuiba mafuta ya masikini wa afrika?..Aliyekupa kazi ni mzungu acha kumsingizia yesu!
 
Bwana Yesu apewe sifa. Yeye humpa mtu kile aombacho kwa moyo uliopondeka.

ANGALIZO: Sadaka ya malimbuko ni ya lazima kama unataka Yesu alinde hiyo kazi yako. Malimbuko ni mshahara wako wote wa kwanza uutoe sadaka kwa Mungu. Ongea na Yesu kama ulivyoongea naye kwenye interview akuonyeshe madhabahu ya kuitolea hiyo sadaka. Usiongozwe na wanadamu wenye tamaa ya hizo dola zako. Sio lazima kanisani, Mungu akusaidie na ukawe shuhuda wa matendo yake makuu
 
Yesu gani huyo?...Yesu yesu wa ukweli hawezi kukusaidia kupata kazi kwenye Shirika lililoundwa kukandamiza wanyonge?...Yesu ameacha kuchagua watu wenye sifa akakupa ww usie na sifa?...Yesu atakupeleka Sudan kusaidia kuchora michongo ya kuiba mafuta ya masikini wa afrika?..Aliyekupa kazi ni mzungu acha kumsingizia yesu!

Itahwa mwache akalagebaho, hamjui Yesu tunayemwabudu. Nenda kafanye kazi ya Bwana huko uendako
 
inapendeza sana.hakika Mungu akutangulie na kukupa baraka zote iyo kazi at the end of the day uifanye kwa utukudu wake.
 
jehova never say BYE
amini Dada/KAKA hata kukuita kwenye interview ilikuwa ni favour ya YESU
KUMBUKA KUTOA SHUKRAN KWA MUNGU
2.BETTER IS NOT GOOD ENOUGH BEST IS YET TO COME
3..MUNGU AMEUPA HESHIMA NA KUKUAMINI TUMIA NAFASI YAKO KUMWAMINI NA KUMTUKUZA YEYE AIJALISHI UKO UN TANGAZA UWEZA WAKE POPOTE ULIPO NA UTAKAPOKUWA
3..MUNGU AKUTIE NGUVU NA KUKUHIFADHI THAT IS FAVOUR,FAVOUR IKATEMBEE NA WEWE POPOTE IKATAWALE KAZI YAKO UKAPANDIHSWE CHEO POPOTE WANAPOONA UNAFAA KWA MANUFAA YA KUMTUKZA MUNGU UKAWE JUU IN JESUS NAME
4.ALIE NDANI YAKO NI MKUU MNO ENDELEA KUMTUKZA NA KUMTANGAZA POPOTE ULIPO
5...NIKUPE USHUHUDA MIE NILIPATA KAZI KUPITIA IMANI YANGU NA KUSIKILIZA NENO LA MUNGU TV EMMANUEL
SIKU WANAOMBEA WATU WAPATE KAZI NILIKUWA NA MIEZI 3 NYUMBAN....NIKASIKIA MTUMISHI WA MUNGU ANASEMA TOUCH YOUR SCREEN...AKATUOMBEA,DRAW UR NEW PIC REMOVE UR PAST PICTURE,DIST IS NOT A BARRIER NIKASALI KWA IMANI NA KUMWOMBA MUNGU
AKASEMA CHUKUA KARATASI UCHORE UKIWA KAZINI NA WEKA AC NK MI NIKAWEKA NAA MPAKA WAFAGIAJI WAKIFAGIA OFISINI MWANGU BAADA YA WIKI 3 NAPIGIWA NA MTU KUNA KAMPUN INAKUJA TANZANIA NENDA WEB HII JAZA FASTER
BAADA YA MUDA WA WIKI MBILI NIAK[PIGIWA TOKA NJE UNAITWA MTU FULAN NDIO SIKU FULAN KUTAKUWA NA INTERVIEW SERENA HOTEL ...SAA SABA MCHANA...SASA HUU NDIO MUUJIZA WA MUNGU MAANA NI ZAIDI YA HESHIMA YA MUNGU ,,TUMEFIKA TUKO 10....4 WAKAWA WAMEKIMIBIA OFIS MUDA HUO ILIPOFIKA SAA SABA MMOJA WA HR AKAWA AMECHELEWA KUJA WAKASEMA ANAINGIA NANE NA NUSU...ILIPOFIKA AJAONEKANA WAKAONDOKA WAKABAKI 6,,AKAPIGA SIMU SAA KUMI KAMILI YUKO AIRPORT ANAKUJA NA TAX.KUMBE KATIKA 6 WALIOBAKI 3 NAO WANAINGIA KAZINI SAA KUMI NAN NUSU...WAKAAGA TUKABAKI 3. TULIPOANZA NILIA NA FAVOUR YA MUNGU TU .NILIPOFIKA NIKAULIZWA MASWALI 3 LA TATU LIKUWA UNAPENDA MSHAHARA KIASI GANI NIKAWAPA FRMXXXXX- YYYY LEO HII NAPOKEA YYYYYY NAOMBA MUNGU NIELEKEE ZZZZ

NI FAVOUR TUSIACHE KUTOA FUNGU LA KUMI JAMANI LINAFANYA KAZI
 
kwake yeye yote yawezekana, jina lake lihidiwe, ukimshirikisha kwa dhati utakunyanyua juu.
 
itahwa Una ushahidi gani kama aliyekusaidia ndiye YESU. Toka lini YESU akabagua wana wake?. Vipi hao wanaopata kazi bila hata ya kumuomba huyo YESU watasema nini?.

Wewe kachape tu kazi haya mambo mengine ya nani amekupa kazi waachine wale waliokupa interview na kukuchagua.

Inategemea Iman zao zilikua wapi, kwahyo usimparamie kisa kasema YESU ndio kampa kazi, na anauhakika kwamba yeye ndio kampa kazi maana yeye ndie amuaminie kwa kila jambo na akamjalia akapata, so usihuzunike sana kisa kampa sifa YESU wake aliyemsaidia!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ishu sio fungu la kumi tu, Yesu hayupo kwa ajili ya pesa za fungu lako la kumi, mtolee maisha yako sasa, ni vyema sana umeamini ni yeye ndio amekupa kazi na si nguvu zako binafsi, mtumikie sasa!

Kuna namna nyigi sana za kutoa fungu la kumi, sio lazima uchukue kalkuleta ukokotoe asilimia kumi ya mshahara wako mpya wa UN!
Kambaku ningependa unipe namna nyingine ya kutoa fungu la kumi..
 
Last edited by a moderator:
Inategemea Iman zao zilikua wapi, kwahyo usimparamie kisa kasema YESU ndio kampa kazi, na anauhakika kwamba yeye ndio kampa kazi maana yeye ndie amuaminie kwa kila jambo na akamjalia akapata, so usihuzunike sana kisa kampa sifa YESU wake aliyemsaidia!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hizi imani zingine sijui zinapatikana wapi?. Kwani yeye tu ndiyo alikuwa na huyo Yesu.

Nani kakwambia mimi ninahuzunika?. Ninachofanya ni kuhoji kile alichokileta hapa kutaka kutuaminisha kitu ambacho hata dots hazifungamani.

Yeye anachotakiwa kufanya ni kuishukuru panel iliyompatia kazi na kuachana na hizi longo longo za kiimani.

Toka lini Yesu akabagua wanawe na kumpa mmoja kazi na kuwanyima wengine.
 
Mwanangu Ofisi za Yesu ziko wapi nimwone
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

hongera sana hata mimi ikwisha nitokea mara mbili mfululizo,first job and tulifanya interview mara tatu katika mchujo nikapita nikaingia kwenye kazi,second job mambo yalikuwa hivyo kama kwako kukutana na watu wana maexperience yangu but no one like Jesus..kingine hata Kitabu cha Zabaru au Ayub kinatia moyo sana nakukujengea ujasiri wakati wote hasa katika mambo magu..Hongera sana
 
Haleluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuya!:israel::israel:
 
Ishu sio fungu la kumi tu, Yesu hayupo kwa ajili ya pesa za fungu lako la kumi, mtolee maisha yako sasa, ni vyema sana umeamini ni yeye ndio amekupa kazi na si nguvu zako binafsi, mtumikie sasa!

Kuna namna nyigi sana za kutoa fungu la kumi, sio lazima uchukue kalkuleta ukokotoe asilimia kumi ya mshahara wako mpya wa UN!
nawashangaa watu wakisema Mungu anashida na hako kafungu kakumi kamshiko, yeye anahitaji utii wako tu baasi.
ukisha mtii yeye basi utakuwa na upendo kwa wengione na hilo fungu la kumi litaonekana hata katika misaada unayotoa kwa jirani yako mwenye uhitaji.
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Hongera sana! kumbuka kusimamia njia uliyopitia kupata kazi (imani katika Yesu kristu) toa shukrani na kutimiza yote yanyoukupasa na ulipotoa ahadi usisahau kuitimiza ni muhimu sana kwa maendelea yako
 
usimsahau kwa malimbuko na zaka zako

Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
 
nafikiri mnatofautiana viwango vya kuamini....lkn ana hai ya kuamini kwamba KING OF KINGS,LION OF JUDAH ndo amempa kazi...jamani huyu YESU mtamu sana!
Hizi imani zingine sijui zinapatikana wapi?. Kwani yeye tu ndiyo alikuwa na huyo Yesu.

Nani kakwambia mimi ninahuzunika?. Ninachofanya ni kuhoji kile alichokileta hapa kutaka kutuaminisha kitu ambacho hata dots hazifungamani.

Yeye anachotakiwa kufanya ni kuishukuru panel iliyompatia kazi na kuachana na hizi longo longo za kiimani.

Toka lini Yesu akabagua wanawe na kumpa mmoja kazi na kuwanyima wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom