YESU amenipa kazi UN

YESU amenipa kazi UN

Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

Hongera sana, kumbe naweza kuapply hata Kama sina experience kubwa.... Let's me try!
 
YESU yeye ni kila kitu na ndiyo alivyo hamnyimi mtu kitu aombacho kwa mapenzi yake.
 
asanteni sana wadau,ukiomba kwa bidii YESU anatenda tena kwa haraka kuliko tunavyoamini
 
itahwa Una ushahidi gani kama aliyekusaidia ndiye YESU. Toka lini YESU akabagua wana wake?. Vipi hao wanaopata kazi bila hata ya kumuomba huyo YESU watasema nini?.

Wewe kachape tu kazi haya mambo mengine ya nani amekupa kazi waachine wale waliokupa interview na kukuchagua.
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako...Mshike sana Yesu...Halafu hebu toa Sadaka na Shukrani na lile fungu la kumi...Au sio...
 
itahwa [h=3]Matayo 7:7-11[/h]Swahili New Testament (SNT)

[h=3]Omba, Tafuta, Bisha Hodi[/h][SUP]7 [/SUP]“Ombeni nanyi mtapewa. Tafuteni nanyi mtapata; bisheni hodi nanyi mtafunguliwa mlango. [SUP]8 [/SUP]Kwa sababu kila aombaye hupewa; naye atafutaye hupata; na abishaye hodi atafunguliwa mlango.

[SUP]9 [/SUP]“Au ni nani kati yenu ambaye kama mwanae akimwomba mkate atampa jiwe? [SUP]10 [/SUP]Au akimwomba samaki atampa nyoka? [SUP]11 [/SUP]Ikiwa ninyi mlio waovu mnafahamu jinsi ya kuwapa watoto wenu zawadi nzuri, ni mara ngapi zaidi Baba yenu wa mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana. Am happy japo sikujui.
Ila Yesu hatakua kawaonea hao wenye ujuzi zaidi yako na wamekosa hio kazi?
 
Hakika Bwana Yesu apewe sifa dalili za kupata kaz zimeanza kuonekana kwangu nimepiga interview i believ ths month mateso yatakuw kicheko zabur 57:2 ni jibu kwangu
 
  • Thanks
Reactions: Ebe
Sifa na utukufu ni kwake Yesu.Yeye afanyaye mambo makuu na ya ajabu tusiyoweza kuyajua.Mtegemee yeye kwa kila jambo katika kazi yako hiyo na wala usitegemee akili zako mwenyewe
 
GOD always answers our players,his name should glorified!!!!

You have made my day! Sikumbuki ni lini in the last two weeks nimecheka hivi. Man Ngosha statement yako imebeba almost the opposite meaning mazee. Na yote kwasababu ya very common mistake yetu wa bantu. Subsituting L for R in our talks and writings!
Aisee nimeamini unaweza hata sababisha vita just by a simple fault in spelling!
 
Ni Jina lipitalo Majina yote YESU.

Hongera,sifa,heshima,utukufu mrudishie Yesu aliyewesha wewe kupata kama ulivyoomba.
 
========
Wale wagonjwa kumi wa ukoma waliomwendea YESU awaponye, wote waliponywa,kwa hiyo hata hao wengine wenye experienceskama wangeingia kwa hiyo interview kwa kuliitia jina la YESU wote wangepata kazi,huwa anafanya mambo juu ya kawaida.

Tumia logic mkuu,
Kazi yenyewe moja tu, halafu mpo 10 na wote mnamtegemea Yesu.
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

Jina La Bwana liimidiwe. Yeye ni mwaminifu sana.
 
Pole sana, huko Juba ni kama jehanam.
 
itahwa una ushahidi gani kama aliyekusaidia ndiye yesu. Toka lini yesu akabagua wana wake?. Vipi hao wanaopata kazi bila hata ya kumuomba huyo yesu watasema nini?.

Wewe kachape tu kazi haya mambo mengine ya nani amekupa kazi waachine wale waliokupa interview na kukuchagua.

yupo mungu anaye jibu na kama uwamini jaribu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom