Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Haiwagi rahisi hivyo. Mnavyowajua ninyi watu si anavyowajua Rais wa nchi. Msipende kutumia mifallasies katika mambo ya aina Hii. Samia atafanya vile ambavyo mazingira na sheria zinamruhusu. Sio kila kitu mbona marehemu. Hao wanawake mnaolala nao wakiwa kila siku wanaongelea mitindo ya maex wao. Utaendelea wewe.
Magu alikuwa vindictive, mtu wa visasi, na mtu mwenye roho mbaya.
Mtu mwenye sumu ya nyoka swila.
Hilo halina ubishi.
Mbaya zaidi, kama Ndugsi, alikuwa na faili Mirembe.

Madudu aliyofanya si bahati mbaya.
 
Nilivyosikia jipu limepasuka kuwa kuna list mpya inakuja nimepata shida kubwa sana juu ya hawa: Kitila, Waitara, Gekul, Molel, Kabudi, Biteko, Jafo, Bashe et al.

Ila nina wasiwasi na Riz na mamake huenda mmoja wao akaingia ndani.
Kwahiyo hâta wewe hatakuteua?
 
MaCCM bhana!Mtu ameomba msamaha ila bado anapigwa mawe![emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbuka na Lissu nae hakusamehewa na alifukuzwa ubunge akiwa anaugulia maumivu makubwa na makali ya risasi..
Na kuna mtu aliugua almost mwaka mzima india hakuondolewa bungeni akalipwa mishahara na posho zote yeye na wasaidizi watatu kwa siku zote!
 
Nilivyosikia jipu limepasuka kuwa kuna list mpya inakuja nimepata shida kubwa sana juu ya hawa: Kitila, Waitara, Gekul, Molel, Kabudi, Biteko, Jafo, Bashe et al.

Ila nina wasiwasi na Riz na mamake huenda mmoja wao akaingia ndani.
Kwahiyo hâta wewe hatakuteua?
 
Nilivyosikia jipu limepasuka kuwa kuna list mpya inakuja nimepata shida kubwa sana juu ya hawa: Kitila, Waitara, Gekul, Molel, Kabudi, Biteko, Jafo, Bashe et al.

Ila nina wasiwasi na Riz na mamake huenda mmoja wao akaingia ndani.
Na Majaliwa je?
 
Riz ndo anakua prime minister.
 
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Daah acha maskhara banaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vasco DA gama, nae anataka mwanae awe top kule juu, mbna mwenzake mwanae anacheza ktk jumba jeupe la Unguja?

Hahaha tutaona mengi sahivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu lini mgogo akawa na akili, huwezi kuta wanaume wa shoka kutoka zanaki land, sukuma land na kurya land wanalamba miguu ya mwanamke. Never ever on earth bola nikose hiyo nafasi humuoni polepole alivyo na msimamo.
🤣🤣
Kwa hiyo kumheshimu na kumtii Rais wa nchi ni kuilamba miguu jinsia yake?!!!

Mkuu Nyboma banaaa yaani watu wasikiheshimu kiti cha urais kisa kinaongozwa na mama?!!!🤣🤣

Karibu Kahawa komredi...
 
Back
Top Bottom