Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,812
Kwani alikwambia atang'ang'ania madaraka kinyume cha katiba?!!!😳Amalizie muda wake atoke, nchi hii inahitaji visionary leaders sio wapiga vijembe.
#SiempreJMT
Kwani alikwambia atang'ang'ania madaraka kinyume cha katiba?!!!😳Amalizie muda wake atoke, nchi hii inahitaji visionary leaders sio wapiga vijembe.
Kwan lazima kujua lugha moja, jf ni kama barabara isiyo na polisi unaendesha utakavyo.Protocol kiswahili chake ni Itifaki
Hatujawahi kupewa vya Bure mkuu, vyote tunagharia sisi na kuwalipa viongozi maisha mazuri kama wapo peponi vileWatanzania tunapenda vya bure.
Amewajamata pabaya, na hamchomoki!Amalizie muda wake atoke, nchi hii inahitaji visionary leaders sio wapiga vijembe.
Nyie timu Magu mlidhani mama ni walkover, mlidhani mtamkunja asubuhi asubuhi, sasa anawakunja ninyi.Atalinywa mwenyewe kama Mwendazake alivyo linywa
Ikulu siyo ukumbi wa taarabu
Kwa nafasi yake Mama yetu huyu hakupaswa kuongea yale aliyoongea jana ni UNAFIKI wa hali ya juu mno, isitoshe Mh. Job Ndungai alimuomba msamaha sasa mtu mzma kaka yeye kaombwa msamaha halafu hakusamehe anataka anyenyekewe vipi?🤣🤣
Kwa hiyo kumheshimu na kumtii Rais wa nchi ni kuilamba miguu jinsia yake?!!!
Mkuu Nyboma banaaa yaani watu wasikiheshimu kiti cha urais kisa kinaongozwa na mama?!!!🤣🤣
Karibu Kahawa komredi...
Itakuwa wewe ni machinga, si unakumbuka?Hatujawahi kupewa vya Bure mkuu, vyote tunagharia sisi na kuwalipa viongozi maisha mazuri kama wapo peponi vile
Mkuu Nyboma umeongea kwa "hisia" sanaaaa.....Kwa nafasi yake Mama yetu huyu hakupaswa kuongea yale aliyoongea jana ni UNAFIKI wa hali ya juu mno, isitoshe Mh. Job Ndungai alimuomba msamaha sasa mtu mzma kaka yeye kaombwa msamaha halafu hakusamehe anataka anyenyekewe vipi?
Aache kujikweza yeye ndiye yeye, tulikuwa na Magufuli sasa yu wapi? Huu wimbo wa 2025 ameuimba sana anajuaje atafika huko? Kumbuka miaka minne ni mingi mno kwetu sisi binadamu lolote linaweza tokea.
Kuna mdau aliwahi kusema, Kassim na henge lake wanajipanga kumuangusha mama, kumbe ni kweli na wameshashtukiwa tayaliKauli ya "bungeni kwa Kassim" inafikirisha
Mbona hiyo simple sana, unachomoa tu kadi ya CCM na mtu anaanguka kama jiwe.Ila upande mwingine ikitokea Ndugai naye akaamua "kudinda" kwenye mhimili "wake", huyo Mama atakuwa na wakati mgumu.
Ikumbukwe hata ministers watakaoachwa watalazimika kuungana na Ndugai "kuisulubu" serikali bungeni.
Huu mgogoro inabidi CHAWA waushabikie kimachale.
Kwani Spika anatokana na nini?anaweza kufutwa kazi kama akifutwa uanachamaNawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.
Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.
Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
Amewajamata pabaya, na hamchomoki!
Vijana hawasomi katiba! Ndugai cheo chake kimeshikiliwa na ubunge wake na ubunge wake umeshikiliwa na kadi yake ya ccmMbona hiyo simple sana, unachomoa tu kadi ya CCM na mtu anaanguka kama jiwe.
Vijana hamkuwepo Aboud Jumbe tena rais wa Zanzibar, alivyodinda.
Ikachomolewa kadi ya CCM ikabidi aishi uhamishoni Kigamboni maisha yake yaliyibaki.
Tutaona na kusikia mengi, bado najiuliza ni kwanini inakuwa hivi ?? Wako wapi think tank ya ccm ambao walikuwa na uwezo wa kubadili upepoKwani Magufuli aliruhusu watu kuhoji?
Umesahau Membe alivyotaka kumchallange kwenye nafasi yake alifukuzwa uanachama!!
CCM ni ile ile wacha kazi iendeleee [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaona na kusikia mengi, bado najiuliza ni kwanini inakuwa hivi ?? Wako wapi think tank ya ccm ambao walikuwa na uwezo wa kubadili upepo
Amewashika pabaya.Kwa nafasi yake Mama yetu huyu hakupaswa kuongea yale aliyoongea jana ni UNAFIKI wa hali ya juu mno, isitoshe Mh. Job Ndungai alimuomba msamaha sasa mtu mzma kaka yeye kaombwa msamaha halafu hakusamehe anataka anyenyekewe vipi?
Aache kujikweza yeye ndiye yeye, tulikuwa na Magufuli sasa yu wapi? Huu wimbo wa 2025 ameuimba sana anajuaje atafika huko? Kumbuka miaka minne ni mingi mno kwetu sisi binadamu lolote linaweza tokea.
Vichwa vinawauma, nyie wahutu mrudi Chato.Kajifunze kiswahili kwanza