Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Walimgawana kila mmoja akajipigia....hadi balozi wa nyumba kumii..ila kwel kigezo kikubwa kuwa ccm ni kichwa kiwe box afu uwe na masters ya unafikiiNdugai slivyogombewa kama mpira wa kona, na wale wenyeviti wa CCM Mikoa na yule mwenezi wa Njombe, nikajua jua limemchwea Ndugai.