Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Tangu lini mgogo akawa na akili, huwezi kuta wanaume wa shoka kutoka zanaki land, sukuma land na kurya land wanalamba miguu ya mwanamke. Never ever on earth bola nikose hiyo nafasi humuoni polepole alivyo na msimamo.
Hivi PolePole ni kabila gani?
 
Kalikuwa kaondoke toka wakati uleee!
Ati mwendazake anapiga mzigo Ikulu.
Hata huyu hakuwa na muda mrefu kwa Hayati awamu ya pili alikuwa anaondoshwa, ashukuru Mungu alimchukua JPM bila hivyo pale alikuwa anaondoka.

Kwanza kaumiza wengi, ni vyema baraza likavunjwa na yeye akaindoshwa hapo alipo hafai hapo.
 
Pasko Mayala alishawahi kutoa tahadhari kuhusu mama kutinga gwanda la jeshi kuwa hapo Kuna meseji inatumwa na watu wakae mkao wa Kula nadhani ipo siku tutaelewana.
 
Ndugai kaniangusha sana, ila kanda ya ziwa hatutetemeshwi na Mwanamke. Tusubili 2025
Kwa uelewa wangu Kanda ya ziwa ina ufuasi asilimia arobaini kwa upinzani, sittini ndio kwa CCM. Hata 2020 Magufuri alipata shida kwenye kampeni, Kama sio msaada wa system Kuna majimbo mengi yangeenda upinzani, kwa mfano Geita mjini na Musoma Mjini Jimbo pekee ambalo Magufuri alipata kura chache. Hivyo mwaka 2025 upinzani washindwe wenyewe. Hasa mama akapitishwa na CCM.
 
Mama atspeta tu.
 
Watu wanayumbishwa na hawaelewi kama wanayumbishwa. Kuna rafu nyingi zilichezwa kwa hiyo hii lazima ifanyike kusawazisha hali. Wameisha tusoma tunawazaje ! ha ha haha ahaaaa! 'Tawi maalumu' balaa ha haaa!
Kesi ya mbowe ilisogezwa mbele nadhani wiki ijayo ndio inaendelea. pia itakuwa nchi ya kipumbavu Kama viongozi wakubwa Kama Rais na speaker watumike kusawazisha hali. Mimi nadhani kinachotokea Ni reality na si kingine.
 
Yeye ni mama na nyie ni vijana...

Mkimzingua anawazingua...
 
Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!

Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti.
Mama kasema kimejaa!

Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai.
Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo.
Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!

Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.

Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Aanze tuu kuwafinya
 
Back
Top Bottom