abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Nchi hii kuna mhimili mmoja tu ambao jiwe alishasema umejichimbia chin zaid
Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.
Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.
Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani