Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Ningeshangalia kama wewe iwapo hili ingekuwa ni Khadija Kopa anamjibu mzee Yusufu...., Na sio watu wenye mandate ya kutondoa katika matatizo yetu lukuki kwa kuja na Policy za maana....

Hayo ya mipasho watumie vocha na sio airtime ya Taifa
 
Mama fukuza Jobu Ndugai ni mtu hatari sana kwako
Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.

Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.

Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
 
Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!

Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti.
Mama kasema kimejaa!

Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai.
Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo.
Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!

Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.

Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Kimeumana#MBOWE SIO GAIDI# Gaidi ndugai!!
 
Sukuma gang chaliii🤣🤣🤣🤣, mlijitapa sana kwa kuonea watu, na badoooi
Sio rahisi hivyo, utaondoa vitawi mashina yatabaki na yatachipuka. Hivyo ngoma ndio imeanza sasa
 
Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.

Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.

Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
Kama haingiliwi alikuwa analilia nini jana.
 
hivi kesi ya mbowe ,imefikia wapi ,
Watu wanayumbishwa na hawaelewi kama wanayumbishwa. Kuna rafu nyingi zilichezwa kwa hiyo hii lazima ifanyike kusawazisha hali. Wameisha tusoma tunawazaje ! ha ha haha ahaaaa! 'Tawi maalumu' balaa ha haaa!
 
Ndugai inabidi achague moja amefeli sana,
Ila Samia andhihirisha jinsi gani anawahi kureact hiyo ni kura ya
turufu kwa mahasimu wake wakujua kuitumia.
Tangu lini mgogo akawa na akili, huwezi kuta wanaume wa shoka kutoka zanaki land, sukuma land na kurya land wanalamba miguu ya mwanamke. Never ever on earth bola nikose hiyo nafasi humuoni polepole alivyo na msimamo.
 
Huyu sio mwanamke tu Kama wanawake wenu, huyu ni Rais...akiamua wote mnalala SAA nne asubuhi na hamna cha kumfanya.
Kuna maraisi bwana huyu wetu bado anajifunza bado hata hizo kauli hawezi zitoa kabisa
 
Samia hataki watu wahoji, anataka hiyo kazi ifanywe na wapinzani pekee ili wasiwasikilize, anapotokea wa kuhoji ndani ya chama chake anamuona adui, bado hajawa matured politically.
Tumewapa kazi hio endeleeni nayo
 
Tangu lini mgogo akawa na akili, huwezi kuta wanaume wa shoka kutoka zanaki land, sukuma land na kurya land wanalamba miguu ya mwanamke. Never ever on earth bola nikose hiyo nafasi humuoni polepole alivyo na msimamo.
Ndugai amekula ugali wa kutosha ajiuzuru hiyo heshima kidogo iliyobaki.
Au achague kukaza kusimamia haki kuliko kulamba viatu na aondolewe kwa nguvu kulinda legacy.
 
Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.

Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.

Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
Akinyanganywa kadi ya CCM hana chake
 
Back
Top Bottom