careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
Gwaj anawadanganya[emoji2] ye mwenyewe yalimshinda akategewa kamera ya mkono wa baunsaVita vyetu sio vya damu na nyama.
Gwaj anawadanganya[emoji2] ye mwenyewe yalimshinda akategewa kamera ya mkono wa baunsaVita vyetu sio vya damu na nyama.
Hajawahi shindwa vita licha hyo bado akaingia bungeni.Gwaj anawadanganya[emoji2] ye mwenyewe yalimshinda akategewa kamera ya mkono wa baunsa
We uko kundi gani au unaenda na upepoLiwalo na liwe
Nyie vichwa vya panzi mnaambiwa mikopo ni kwa ajili ya kuongeza mxunguko wa pesa kwenye uchumi na kuendeleza elimu, hamuelewi.Mama ni mroho wa madaraka yeye kila kitu anawazia 2025 tu na hataki wengine washiriki,huu ni udikteta. Ila asijiaminishe kiviiiiile kwani hata dhalim alikuwa mbogo na kuwaza kutawala milele lakini leo hii funza wanajitafunia tu mzoga wake.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Alishindwa akaungana nao! Sema ndo hivyo alitumia akili ya ziada! Yule naye kajaliwa kidogoHajawahi shindwa vita licha hyo bado akaingia bungeni.
Anabadili mbwinu tu ukiwa against nae hutoboi Ndugai kwishaaa!!!
Mungu wa Gwajiboy sio wa mchezo mchezo.
Makonda anamjua vyema..Alishindwa akaungana nao! Sema ndo hivyo alitumia akili ya ziada! Yule naye kajaliwa kidogo
Baada ya BONDITA-Ndugai kituo kinachofuata ni Kassimu siyo? Mpaka Yerusalemu iwe imara na sifa kuu ulimwenguni.Kassim ni kiongozi waserikali bungeni..
case hii mchawi anajulikana
Huyo ni BONDITA au Ndugai?[emoji1787]View attachment 2070230
Kwa Ma-RC nina wasiwasi na hawa:-Kwahiyo hâta wewe hatakuteua?
Mkuu,Kwahiyo hâta wewe hatakuteua?
Uso wa Job umefuraMama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.
Nape sasa kuukwaa ama Uspika au Naibu Spika!Riz ndo anakua prime minister.
Mzena haijafungwa ile...Ila upande mwingine ikitokea Ndugai naye akaamua "kudinda" kwenye mhimili "wake", huyo Mama atakuwa na wakati mgumu.
Ikumbukwe hata ministers watakaoachwa watalazimika kuungana na Ndugai "kuisulubu" serikali bungeni.
Huu mgogoro inabidi CHAWA waushabikie kimachale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nape ama Spika au Naibu Spika!
Mzena haijafungwa ile...
Waasi hawakuwahi kushindikana kutengenezeka.K
Kwa wabunge gan watakaomuunga mkono?
Huyu sio mwanamke tu Kama wanawake wenu, huyu ni Rais...akiamua wote mnalala SAA nne asubuhi na hamna cha kumfanya.
Ufahamu gani labda?Mnh wewe nawe [emoji57][emoji57]
Napata shaka juu ya kiwango chako cha ufahamu wa mambo!
Anapaswa kuongoza kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea.
Mamlaka na ridhaa ya kutuongoza inatokana na sisi wananchi kwa mujibu wa Katiba tulojiwekea.
Je unafahamu hayo machache?
Weeeeh.....chezea ndevu siyo dola.Sitaki kuamini Wafuasi wa Hayati wamepiga magoti mapema hivi
Hakuna geni chini ya juaNimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!
Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti. Mama kasema kimejaa!
Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai. Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo. Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!
Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.
Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Duuuuu hapa sasa naona kama umeamua kuwa liwalo na liiiweeeeMama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.