Mkiambiwa hana uwezo mnakataa, si awatoe hao masalia.Sio job tu,Kuna wengi kwenye serikali wanamuhujumu Rais ,ambao ni masalia ya magufuli,
long live JF[emoji119][emoji119][emoji119]Mama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.
Hapana, job anaanzaje kusema nchi itapigwa mnada, unaona ile kauli ni nyepesi. Halafu pia job ni mtu ambaye kwenye politics wana mrengo mmoja anaanze kumzunguka??!! Dharau na kiburi pamoja na uchu wa madaraka tuu wa job na genge lakeSamia hataki watu wahoji, anataka hiyo kazi ifanywe na wapinzani pekee ili wasiwasikilize, anapotokea wa kuhoji ndani ya chama chake anamuona adui, bado hajawa matured politically.
Mama karusha dongo makusudi.Kauli ya "bungeni kwa Kassim" inafikirisha
Kwani Magufuli aliruhusu watu kuhoji?Samia hataki watu wahoji, anataka hiyo kazi ifanywe na wapinzani pekee ili wasiwasikilize, anapotokea wa kuhoji ndani ya chama chake anamuona adui, bado hajawa matured politically.
kaa kwa kutulia sindano imepenya hiyo isijevunjikia ndani we mzee...Huyu maza hana lolote itoshe kusema haukubaliki kabisa huku mtaani akae kiyma ale maisha vinginevyo tonge itadodoka kutoka mdomoni.
Acha hizo, hiyo ilikuwa staili ya Mwendazake.Samia hataki watu wahoji, anataka hiyo kazi ifanywe na wapinzani pekee ili wasiwasikilize, anapotokea wa kuhoji ndani ya chama chake anamuona adui, bado hajawa matured politically.
Akina nani hawa jamani
Ndugai kaniangusha sana, ila kanda ya ziwa hatutetemeshwi na Mwanamke. Tusubili 2025Sukuma gang tuko na gwajiboy na slow slow huyu wa bwagamoyo port hatumtambui.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kassim nae alikuwa na kikao chake Lindi kupanga safu yake. Je Mama ana jua hilo?Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!
Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti.
Mama kasema kimejaa!
Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai.
Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo.
Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!
Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.
Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Protocol kiswahili chake ni ItifakiMama karusha dongo makusudi.
Kuna clip, Majaliwa majuzi kalalamika kurukwa kiprotokali katika uwekaji sahihi mradi wa SGR.
Wajuvi tukajua kuna fukuto.
Ndugai inabidi achague moja amefeli sana,Ndugai kaniangusha sana, ila kanda ya ziwa hatutetemeshwi na Mwanamke. Tusubili 2025
Mama bado mchanga ila kwa kuwa ameamua kupasua chupa 2025 si mbali. Tuombe kheri na uzimaWe umri umeenda lakini mnafiki,we na sukuma gang wenzio sindio mnaongoza humu kumtukana Rais,tuliwambia siku zote tutawatia adabu, Sasa maumivu yaja, mmebebwa hambebeki