FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,796
- 46,913
Hujui kusoma?!Unasemaaaa?
Hujui kusoma?!Unasemaaaa?
AiseeMama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.
Sasa kama tunataka kupigwa mnada asiseme?!Hapana, job anaanzaje kusema nchi itapigwa mnada, unaona ile kauli ni nyepesi. Halafu pia job ni mtu ambaye kwenye politics wana mrengo mmoja anaanze kumzunguka??!! Dharau na kiburi pamoja na uchu wa madaraka tuu wa job na genge lake
Hasa mikopo ya kificho,Magu ametufanya watanzania kama anavyotakaMikopo ni hatari zaidi
Jiwe alibebwa na Mkapa, si Kikwete.Rafu zetu hazipo huko..
Muulze kikwete alimuweka Jiwe bila kupenda kwa hofu ya Lowasa.
Kikwete alikuwa hampendi ndugu yake Membe?Jiwe alibebwa na Mkapa, si Kikwete.
Alifikiri ametoa maneno maneno tu, kumbe wenziwe wamemsoma pamoja na mchezo mzima.MaCCM bhana!Mtu ameomba msamaha ila bado anapigwa mawe!😁😁😁
"Bungeni kwa akina katelephone""Bungeni kwa akina Majaliwa". Nakazia tu
Kweli wewe escrow. Umeniacha hoi. Mama kanikosha sanaMama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.
Mkuu what if Mhimili wa Mjengo ukijiwahi kupiga kura ya kutokuwa na imani na mama wakati ambao mama hajajipanga vya kutosha kuingia ulingoni 2025? Unadhani kama Mchambuzi kipi kitatokea?Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!
Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti. Mama kasema kimejaa!
Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai. Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo. Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!
Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.
Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Kumbe alivyowateua walikuwa hawafai? Hawakufanyiwa vetting na vyombo? Kwahiyo kumbe wazuri waliachwa nje! Wanasiasa bhana! Unadhani PM atasurvive?
Watanzania wagumu vichwa mkuu, hata wanachokitaka hawakijui.Trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati, hivi tuna akili timamu kweli?!
hivi kesi ya mbowe ,imefikia wapi ,
Kweli mkuu, yanapoteza muda sana, yanapoteza rasilimali sana, yanapoteza tija sana, yanapoteza uhusiano mzuri uliojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa! yana-shake chama.... na kujenga mitandao.Ogopa kutofautiana na bosi .....
Ila haya mambo ya siasa, kilichobaki ni kupiga kimya tu....
Mwenye madaraka ndiye mwenye nguvu.Sitaki kuamini Wafuasi wa Hayati wamepiga magoti mapema hivi