Hayawi hayawi yamekuwa.
Wameanza kulinywa!
Mbabe wa mhimili wa Bunge ndio kasambaratishwa. Kundi lake ambalo lipo na Mama analijua limeshaanza kushughulikiwa.
Nani yumo, nani hayumo hiyo ni siri ya Mama.
Kimsingi Ndugai ali seriously underestimate uwezo wa Mama Samia, na alifikiri kumwomba radhi juujuu tu na kusema amekosayeye, amekosa sana, na amekosa yeye, basi Mama Samia atamwelewa.
Na akamwalika mama Samia kwa hafla ya Maobi ya kuombeasijui ilikuwa mvua au Taifa, tarehe29/1/2022.
Masikini hakujua kuwa tayari mambo yanaenda kasi bila yeye kujua.
Ndugai pengine vile vile hakujua kuwa mtandao wao umeshajulikana na umeanza kushughulikiwa.
Weekend njema wakuu.