DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,015
- 18,651
- Thread starter
- #21
Lakini kwa Mujibu wa Katiba Mkuu wa Mkoa Sio Mshauri wa Rais..Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa
Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
Au inakuaje ??