Pamoja na mapungufu ya kibinadamu Makonda ana Uwezo mkubwa wa Uongozi, Shida zilizowashinda Mawaziri sasa kutatuliwa na Rais mwenyewe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,743
147,922
Nilifuatilia ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda hadi pale ilipokatishwa kufuatia msiba wa Lowassa

Aidha niliyafuatilia Maandamano ya Chadema DSM, Mwanza, Mbeya na Arusha

Matukio yote yamekuwa na matokeo Chanya hivyo CCM na Chadema wanapaswa kupongezwa kwa kuishinikiza Serikali

Kwa mfano kufuatia ziara ya Makonda matatizo mbalimbali ya Wananchi kwa level ya Halmashauri yalitatuliwa na Chadema wamesaidia Mgao wa Umeme kuondolewa Mapema

Lakini kilichonifurahisha ni Rais Samia kuanza kusikiliza matatizo ya Wananchi pale Ofisi ndogo Lumumba na hili limenifurahisha mno

Kwamba yapo matatizo ambayo Mawaziri walipaswa kuyatatua na ni mengi sana huko mikoani na DSM lakini Wameshindwa

Sasa Watu Wenye matatizo yaliyoshindikana kwenye level ya Waziri sasa Watakutanishwa moja kwa moja na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri

Huu ndio Uongozi

Mungu wa mbinguni mbariki Paul Makonda
 
Rais ni taasisi, hiyo taasisi imeshindwa kusikiliza matatizo ya wananchi na kumpelekea rais kuyatatua, hadi yeye aende kuyasikiliza personal? Bado mna mbinu za kizamani za kuhadaa wananchi kuelekea kipindi Cha uchaguzi?
 
Anaenda kufanya maigizo tupu
 
Nilifuatilia ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda hadi pale ilipokatishwa kufuatia msiba wa Lowassa

Aidha niliyafuatilia Maandamano ya Chadema DSM, Mwanza, Mbeya na Arusha

Matukio yote yamekuwa na matokeo Chanya hivyo CCM na Chadema wanapaswa kupongezwa kwa kuishinikiza Serikali

Kwa mfano kufuatia ziara ya Makonda matatizo mbalimbali ya Wananchi kwa level ya Halmashauri yalitatuliwa na Chadema wamesaidia Mgao wa Umeme kuondolewa Mapema

Lakini kilichonifurahisha ni Rais Samia kuanza kusikiliza matatizo ya Wananchi pale Ofisi ndogo Lumumba na hili limenifurahisha mno

Kwamba yapo matatizo ambayo Mawaziri walipaswa kuyatatua na ni mengi sana huko mikoani na DSM lakini Wameshindwa

Sasa Watu Wenye matatizo yaliyoshindikana kwenye level ya Waziri sasa Watakutanishwa moja kwa moja na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri

Huu ndio Uongozi

Mungu wa mbinguni mbariki Paul Makonda
Tunarudi kulekule.
 
Naunga mkono hoja, Makonda ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa Watanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

P
-
 
Very good, na ikawe hivyo bali pia msisistizo asipendelewe mtu kutokana na cheo au utajiri wake wote waliopoka haki za watu wachukuliwe hatua stahiki, naamini Makonda analimudu hili
 
Yaan mkuu tatizo la plot moja kuuzwa kwa watu watatu Hilo nalo linahitaji kutatuliwa na Raisi ?

Sasa Kama waziri au mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya wameshindwa kutatua hizo shida, wanaendelea kuwa viongozi kwasababu zipi Sasa?
 
Back
Top Bottom