Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeeeeee................

They have made it last successfully and permanently. Episode inayofata na huyu atapona............ kuna mitihani gani vile karibuni.
 
Dr. Ndalichako aliteuliwa lini? Uislam ulianza lini?

Bi. Mkubwa nilishakuambia huwaga unafikiria kwa kutumia akili za Kiarabu mno!

mkuu waarabu wana mawazo ya ubinadamu, uyu kidudu mtu ana waza kwa kutumia kalio.
 
Shikamoo dada FaizaFoxy!!!!

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Sasa unadhani hiyo nafasi ikishikiliwa na muislamu huyo muislamu atawafanyia mitihani?

Hatufanyii mitihani, la hasha. Kwani Ndalichako alipo felisha Waislaam alikuwa anawafanyia mitihani? fikiri!

Atahakikisha mbinu chafu alizokuwa akitumia Ndalichako hazirudiwi tena. Unataka kuzijuwa ni zipi?

Soma hapa: Home
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kumbe Ndalichako siyo tatizo bali tatizo ni dini ya Ndalichako?
 
Hata rais hajawahi kuwa muislam. Nyie maislamu cjui mna matatizo gani. Rais hata akiwa muislamu atateua wakristo tu coz ndo wenye akili na wamesoma......endeleeni kupiga soga na kujifunza mbinu za alshababu

Siyo wenye akili, ndio walipewa fursa kina Ndalichako! Wangekuwa na akili wangeteketeza hii nchi kwa miaka 24 mfululizo?
 
Hatufanyii mitihani, la hasha. Kwani Ndalichako alipo felisha Waislaam alikuwa anawafanyia mitihani? fikiri!

Atahakikisha mbinu chafu alizokuwa akitumia Ndalichako hazirudiwi tena. Unataka kuzijuwa ni zipi?

Soma hapa: Home

udini utakutoa roho Bibie
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Hivi kwanini waisalam wengi huwa mnaona fahari sana cheo fulani kushikwa na muisalam?? Yani hata kama ni jambaz lakini kama ni muisalam it's ok!!
 
We mama hatutowi vyeo kwa kungalia dini ya mtu... kama unataka haya nenda kaanzishe nchi yako ufanye ujinga wako!!!!
Mbona tangu umeolewa na mumewo anakupiga vitu miaka yote na yeye ni muislam ukusema sasa unataka vitu vya mkristo....

Ficha ujinga wako!!!!

Mkikosa hoja mnaanza viroja. Nani akampe mtu mzima? Utajaza mwenyewe!
 
Dada faizafoxy nakuheshimu kweli
Malumbano haya ya dini hayana tija kwa taifa letu, please mom.....

Hapo hajawahi kushika Muislaam toka paanzishwe. Ikiwezekana kila nafasi kama usemavyo, itakuwa ni vizuri sana kwani wenzetu hamfundishwi kuongoza mnafundishwa kuongozwa (kondoo) tu.

Polycarp Pengo akiingia Uislaam kama wanavyoingia wachungaji wenzake kwa makundi itakuwa ni vyema sana, atakuwa kajijuwa kuwa alipotea na kupoteza wenzake. Hana msamaha ila akiingia kwenye Uislaam tu.
 
Sasa wewe Changu Do, nimesoma hiyo reference yako mbona haina hoja ambyo itasapport maelezo yako ya kuwekwa muislamu. Unajua tunapokuambia kuwa wewe ni mwehu hatukosei ndivyo ulivyo jitambue tu.
Hatufanyii mitihani, la hasha. Kwani Ndalichako alipo felisha Waislaam alikuwa anawafanyia mitihani? fikiri!

Atahakikisha mbinu chafu alizokuwa akitumia Ndalichako hazirudiwi tena. Unataka kuzijuwa ni zipi?

Soma hapa: Home
 
Hapo hajawahi kushika Muislaam toka paanzishwe. Ikiwezekana kila nafasi kama usemavyo, itakuwa ni vizuri sana kwani wenzetu hamfundishwi kuongoza mnafundishwa kuongozwa (kondoo) tu.

Polycarp Pengo akiingia Uislaam kama wanavyoingia wachungaji wenzake kwa makundi itakuwa ni vyema sana, atakuwa kajijuwa kuwa alipotea na kupoteza wenzake. Hana msamaha ila akiingia kwenye Uislaam tu.

hivi kumbe CCM mnachukia hivi ukristo? We ni mjumbe wa NEC taifa. Kazi tunayo
 
Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana

...................Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu........................
unaumia nn?
 
Dada mbona Mh. Rais nimuislam lakini mbona zile hoja hasa za mahakama za kazi alizitupa kando huyu wa necta ndy

ataleta mabadiliko?..

Pigeni msuli msitafute slop!...

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
We una laana tu....lazima utakuwa na frustrations za maisha...huwezi uleta extreme udini wako hapa...sisi tunaongelea mambo ya maana we unaleta mambo ya Udini...Look at you

Moja katika mafundisho ya Kiislaam hatufundishwi kumlaani mtu, hiyo ndio baina yangu na wewe.

Mambo gani ya maana utayaongea wewe uliyekosa haya. Unaujuwa udini wewe? Muulize Ndalichako kwanini anaondoka hapo?
 
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.

Siyo dhehebu wala Dini mkuu, sema "movement" au vuguvugu. Washindwe kusoma watake ushindi wa "mezani?"

Kwikwikwiiiii, mbavu zangu jama!
 
Back
Top Bottom