FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Na hilo ndo linawachelewesha na mtashika mkia mpaka Mungu arudi. mnakalia fikra za kipuuzi tu.
Sasa hivi tumeshika kichwa. Umesahau? Tungeshika mkia ungemuona Ndalichako bado anatamba hapo.
Na hilo ndo linawachelewesha na mtashika mkia mpaka Mungu arudi. mnakalia fikra za kipuuzi tu.
Hapo ndipo tulipofikishwa! Bila shaka na hilo la zamu ya 'dini yetu' ni sera ya wapinzani wa CCM!
Hayo madai yako FF, ni kwa mujibu wa Ibara gani ya Katiba, ai kifungu gani cha sheria?
Cc: Ritz, MS, Ally Kombo, et al. Mnasemaje?
Hakuna sakata lililomuondoa ila amechukua likizo kwa ajili ya kufanya utafiti.Wewe unafikiri sakata linalomuondoa hapo ni lipi?
Wewe hata uliposikia Waislaam wamefelishwa na Ndalichako nna uhakika uligonga "like"
Dada faizafoxy nakuheshimu kweli
Malumbano haya ya dini hayana tija kwa taifa letu, please mom.....
mnataka kupewa maksi za bure? kama vilaza ni vilaza tu, sio ashike muslam afu tuone kina AL-Muntazir kibao top 10.
Waislamu wana nguvu sana. Nilijua watamngo'a tu!
Moja katika mafundisho ya Kiislaam hatufundishwi kumlaani mtu, hiyo ndio baina yangu na wewe.
Mambo gani ya maana utayaongea wewe uliyekosa haya. Unaujuwa udini wewe? Muulize Ndalichako kwanini anaondoka hapo?
JK ni janga la elimu Tanzania!!
Hatufanyii mitihani, la hasha. Kwani Ndalichako alipo felisha Waislaam alikuwa anawafanyia mitihani? fikiri!
Atahakikisha mbinu chafu alizokuwa akitumia Ndalichako hazirudiwi tena. Unataka kuzijuwa ni zipi?
Soma hapa: Home
Uliona idara ipi inayoongozwa na Muislaa ikawa majanga? tunaona maendeleo tu. Hata nchi, alivyoshika nyerere ni majanga ya kufa watu, alipoingia Mwinyi "ruksa" "ruksa" 'ruksa". Kuingia Nkapa, mama yangu wee! hapo ndio mpaka nyumba za Serikali wakauziana kwa bei poa! Kuingia Kikwete? maendeleo kwa kwenda mbele, mabarabara, mashule, vyuo vikuu, utalii, biashara, wageni maarufu. Mambo waa waa!
Na huko nna uhakika akishika Muislaam tutaona mafanikio makubwa sana, ndugu zetu nyie bado, imani yenu haiwafundishi kuongoza mnafundishwa kuongozwa tu (kondoo).
Tunataka tusidhulumiwe maksi zetu kama alivyofanya Ndalichako.
Moja katika mafundisho ya Kiislaam hatufundishwi kumlaani mtu, hiyo ndio baina yangu na wewe.
Mambo gani ya maana utayaongea wewe uliyekosa haya. Unaujuwa udini wewe? Muulize Ndalichako kwanini anaondoka hapo?
Acha unafiki we kibibi kutwa mnawalani waisraeli.CCM inalea mfumo kristo na bado waishobokea tu utajambajamba we mwanamke mpaka uingie kaburini na laana yako.Moja katika mafundisho ya Kiislaam hatufundishwi kumlaani mtu, hiyo ndio baina yangu na wewe.
Mambo gani ya maana utayaongea wewe uliyekosa haya. Unaujuwa udini wewe? Muulize Ndalichako kwanini anaondoka hapo?
Na ndivyo alivyofanya kwa kuchukua likizo bila malipo.Huyu mama kulinda heshima yake na elimu yake ilikuwa aachie nafasi pale serikali ilipoamua kukarabati alama za matokeo ya mitihani ktk utaratibu wa kichina wa kuangamiza elimu.
Tunataka tusidhulumiwe maksi zetu kama alivyofanya Ndalichako.
Hakuna sakata lililomuondoa ila amechukua likizo kwa ajili ya kufanya utafiti.