Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

tuna taka katibu lakini ajue kwamba hatumchagui kwa dini yake. kuwa mwislamu au mkristo sio kigezo. suala ni shule na weledi wa hali ya juu. vinginevyo tutaanza kuchakachua elimu sana kwa minajili ya kidini. huo ni ujinga nkubwa
 
Vilaza watashangilia sana kwa mama wa nguvu Dk. Ndalichako aliyesaidia kurejesha heshima ya NECTA. Alizaiba mwanya wa wizi wa mitihani.Unakumbuka kabla yake mitihani iliibiwa sana hadi inabandikwa kwenye miti. Aibu sana. Na vijana waliomaliza miaka ile wakiwa na wani za pepa ndiyo tunao ofisini ukimwambia akuandike hata minutes za kikao cha idara hawewezi. Eti alimaliza form four na six kwa division one kali.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Sasa unadhani hiyo nafasi ikishikiliwa na muislamu huyo muislamu atawafanyia mitihani?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Nashauri mods watuwekee kidude cha 'dislike' na ninaahidi kuanza na hii comment yako
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

we bibi kajipange mnaonewa kivipi?? mimi nimesoma na waislam vichwa na kweli walifaulu hivo hivo kwa max za juu tulizotarajia ss unaposema walionewa em fafanua....pepa zinasahihishwa zikiwa na namba za mtihani si majina, hata hivo hamna mtu mmoja anaesahihisha maswali zaidi ya mawili mtihani mzima, ss em niambie huyo director(ndelichako) atafanyaje fanyaje ili kukata max za hao waislam???

kama ni seminary za kiislam kushika mkia, hilo lipo wazi hata katika level ya mock hushika mkia hivo hivo, hata kwa kanda hua hivo hivo na kwote huko husahihishwa na jopo la walimu wanaotoka katika shule hizo ndani ya hiyo kanda(including from those islamic seminary)
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Utakuta mtu wa namna hii anaongoza taasisi flani nyeti kwenye serikali.sikujua kuwa wakati mwingine huwa tunajibishana kwenye hoja za kisiasa na mtu mwenye fikra fupi za namna hii....Ukweli uwezo wako kiakili ni wa kutilia mashaka na una chuki ambazo huwezi kukaa na mtoto ambaye si wako katika nyumba yako....

Kwa comment yako hii,umetia aibu na umeonesha wazi uwezo na upeo wako unapofikia
 
Suala ni uwezo wa mtu husika na si muislamu wala mkiristo..asiyependa utaratibu wa nchi,asituchafulia amani kwa mgongo wa uteuzi unaofuata misingi ya dini yake.Mchakato wa katiba unaendelea tusibaki kulalama tu huku tunahaki ya kufanya mabadiliko katika mifumo ya uteuzi katika katiba mpya.Yanazungumzika.!
 
Afadhali iwe hivyo na aondoke kabisa bmt kwa sababu tunataka brn lakin kwa huyu ndalichako alikuwa kikwazo sana. Mukandala kaza buti prof. Wangu wa ps ili ututoe kimasomaso. Byebye ndalichako hiyo ndo tiketi yajumla .
 
Kwa upande wangu huyu mama alikuwa najitahidi sana kama katoka sijui atakaye kuja atafanya nini jipya
 
Siasa / Dini zinapopenya kwenye mambo
ya kitaalam huwa hatari kubwa sana inalikabiri
Taifa letu wazi kabisa.

Ukweli huyo Dr acha akapumzike japo
hakustahiri kuondoka kwa shinikizo la
maslahi ya wachache.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kama kila nafasi lazima ishikwe na Mwislaamu ndiyo msionewe basi mtafika mahali kumtaka hata Polcarp Pengo amalize ili ashike mwislamu.
 
Ni maandalizi ya kuchakachua matokeo ya mitihani kwa kisingizio kuwa big result now imefanikiwa
 
Huyo anakaimu tu na yeye tunamtazama, ataendeleza parokia au atabadilika na kubadilisha mambo humo? akiendeleza na yeye hakai.

Hatutazami jina la mtu tunatazama vitendo vyake.

El shabab
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
mama mzazi alie kubeba wewe tumboni hakika anajuta bora hata angebeba chura kidogo ingekuwa na afadhari.lok!nuksi tupu ptuuu!!!!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kwa hiyo tusiokuwa na dini unataka kutuambia nini?? Acha udini!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

acheni kupandikiza chuki za kidini na visingizio vya udin Kwan ni waisilamu wangap wamefaulu kwa necta hiyo hiyo tangu iundwe we kama ujiwezi tafuta Sababu na co dini hata wakimweka sheikh mkuu kwenye hiyo nafasi kama mwanfunzi ni kilaza kamwe hawezi faulu,fungukaa kijana!!!!!!!!!?
 
Back
Top Bottom