Katiba tunataka mpya hii ya Nyerere haifai.
kwahiyo na hawa waislam waliofaulu imekuaje wakafaulu...
mshauri wa CCM na mjumbe wa NEC hongera sana kwa kuuchukia ukristo
Aiseee kuumbeee .ndo umenijuza wa kwetu.Labda ngoja wepewe wa upande wa pili ili nao wafaulu kama kweli ndo kigezo cha ufaulu. Apewe Hijjat Faza Foksii (Ali Shabaabu bini Boko Haramu)Nasikia aliwakwaza sana Viongozi wa juu wa CCM alipokuwa anataka kugomea ku-standerdize ili idadi ya ufaulu iongezeke na kutoa taswila nzuri ya Elimu hivyo kukifanya chama kiendelee kuaminika
mjumbe wa CCM ndiyo ana msimamo huu. Kweli CCM ni janga
Acha unafiki we kibibi kutwa mnawalani waisraeli.CCM inalea mfumo kristo na bado waishobokea tu utajambajamba we mwanamke mpaka uingie kaburini na laana yako.
Hakuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu kama wakati huu wa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete. Hilo liwanawauma sana, gap ya 83/17 inazidi kuondoka. Na bado.
Hakuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu kama wakati huu wa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete. Hilo liwanawauma sana, gap ya 83/17 inazidi kuondoka. Na bado.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Nachukia wanoutumia Ukristo kuwaumiza Waislaam, kama Nyerere na Ndalichako.
Kwani CCM inauadui na Waislam?Huwa nacheka sana linapokuja suala la Waislam na serikali Chadema wote wanarudi CCM teh teh te!!
Halafu mnaota ndoto eti mtaitoa madarakani CCM.
Nchi hii waislam mbumbumbu type ya FaizaFoxy na Ponda ndiyo wanakwamisha maendeleo ya nchi.
Mwambieni ponda afanye application. Atafaa sana kwenye hiyo nafasi.Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana
Naona hoja zimewaishia ngoja nikachungulie Ikulu, washapata Juice?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.