Never expected this from you madam, You can do better.Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Hapana. hao hawawezi nafasi hiyo, tunao wataalaam wanaoiweza hiyo nafasi.
Hivi unajuwa kwanini kaondoka hapo? au unajifanya umesahau?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Ayaaaaaaa kumbe ndo lengo hilo haya sasa majanga
No, I think the devil is amongst us all. Instigating hatred and fear among people is the work of satan. Ukikaa na muislam atakuambia Uislam ni dini ya amani. Ukikaa na mkristo anakuambia msingi mkuu wa dini yake ni upendo. Huku kunyoosheana vidole kunatoka wapi kama si kazi ya shetani!the devil is within them.
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Uliona idara ipi inayoongozwa na Muislaa ikawa majanga? tunaona maendeleo tu. Hata nchi, alivyoshika nyerere ni majanga ya kufa watu, alipoingia Mwinyi "ruksa" "ruksa" 'ruksa". Kuingia Nkapa, mama yangu wee! hapo ndio mpaka nyumba za Serikali wakauziana kwa bei poa! Kuingia Kikwete? maendeleo kwa kwenda mbele, mabarabara, mashule, vyuo vikuu, utalii, biashara, wageni maarufu. Mambo waa waa!
Na huko nna uhakika akishika Muislaam tutaona mafanikio makubwa sana, ndugu zetu nyie bado, imani yenu haiwafundishi kuongoza mnafundishwa kuongozwa tu (kondoo).
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kuna waliomtuhumu Ndalichako kwa kuigeuza NECTA kama Parokia. Has their wish been granted by Charles replacing Joyce? Tusubiri tusikie watasema nini.
kweli ni kauli ya kusikitisha ikiwa ni dalili kuwa elimu yetu itaendelea kuwa na utata.Never expected this from you madam, You can do better.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
tanzania yangu eeeh
Umesikia Necta ni nyumba ya Ibada? The most pathetic comment I have ever read in this forum, and you call yourself a great thinker, shame.