Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

mama mzazi alie kubeba wewe tumboni hakika anajuta bora hata angebeba chura kidogo ingekuwa na afadhari.lok!nuksi tupu ptuuu!!!!

Kwa kuwa nimesema tunataka Muislaam hapo ili kuwe na uadilifu? pole sana.

Vipi, inauma enh?
 
Mwanzoni nilikuwa nakutania kuwa wewe ni Changu Do sasa nimethibitisha kuwa unafiti kwenye nafasi hiyo. Hivi wewe unafikiri akipewa muislamu ndipo mtakuwa na akili poleni sana.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
Kuna waliomtuhumu Ndalichako kwa kuigeuza NECTA kama Parokia. Has their wish been granted by Charles replacing Joyce? Tusubiri tusikie watasema nini.
Wamesha sema, hujawasikia?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

hata mm niltami hivyo nione kama matokeo yata badilika...maana watu wanachora vizombi necta form 4 then wanataka kwenda form 5.
 
Wanajifunza kusema ukweli.

Ulitaka wajifunze matusi kama ufanyavyo? Kumbuka; bila mama'ko na baba'ko kuwa na hizo unazozisema usingekuwepo duniani.
Mmmmh..Ila black w.i.d.o.w we umezidi bana na uzee wote huo bado zinakuwasha tu.Unaweza kuzaa kweli?Sema yatosha bibi.Tumekuchoka na laana yako ya ubaguzi.Nakukemea vikali sana ilo p.e.p.o likutoke mana unatia kichefuchefu.
 
Kama kila nafasi lazima ishikwe na Mwislaamu ndiyo msionewe basi mtafika mahali kumtaka hata Polcarp Pengo amalize ili ashike mwislamu.

Hapo hajawahi kushika Muislaam toka paanzishwe. Ikiwezekana kila nafasi kama usemavyo, itakuwa ni vizuri sana kwani wenzetu hamfundishwi kuongoza mnafundishwa kuongozwa (kondoo) tu.

Polycarp Pengo akiingia Uislaam kama wanavyoingia wachungaji wenzake kwa makundi itakuwa ni vyema sana, atakuwa kajijuwa kuwa alipotea na kupoteza wenzake. Hana msamaha ila akiingia kwenye Uislaam tu.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Hapana, tunataka nafasi hiyo ishikwe na mtu yeyote mwenye uwezo bila kujali dini, rangi au kabila lake. Wewe unayefikiria dini yako bila kujali uwezo utashindwa tu na fitna zako.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Sasa kama hamtaki kwenda shule, mnangangania madrasa mtapewaje hiyo nafasi. Au unataka watoto wetu wawe wanaandia kuanzia nyuma ya daftari kuja mbele? Mambo mengine muwe mnafikiria kabla ya na kujiuliza je tukipewa tutaweza?
 
Utakuta mtu wa namna hii anaongoza taasisi flani nyeti kwenye serikali.sikujua kuwa wakati mwingine huwa tunajibishana kwenye hoja za kisiasa na mtu mwenye fikra fupi za namna hii....Ukweli uwezo wako kiakili ni wa kutilia mashaka na una chuki ambazo huwezi kukaa na mtoto ambaye si wako katika nyumba yako....

Kwa comment yako hii,umetia aibu na umeonesha wazi uwezo na upeo wako unapofikia

Mkuu anae ongoza NSSF hana tofauti na huyu.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Naunga mkono hoja nampendekeza PONDA

shukrani za pekee zimwendee Said Mtanda mbunge wa Mchinga ambaye alitajwa humuhumu jf juzi ku injinia mpango huo .

kwa maana ya kufanya utafiti wacha achukue likizo ili awe free, ni lazimz aitee doctorial yakem na kujiandaa kuwa prof, siamini kama waislam wanaweza kumtoa mtendaji wa serikali kwa mambo yao binafsi labda kuwe na movement behind,ila kuwepo au kuto kuwepo kwa ndalichako baraza la mitihani hakuwafanyi waislam au wakristo kufeli au kufaulu mitihani ta necta, binafsi sioni baya alifanya ndalichako dhidi ya waislam na uislam wenyewe kama atatoka necta itakuwa ni mipango ya kawaita kabisa na sio udini, kumbuka ndalichako ni presidential appointment anaweza kutengua uteuzi wake ni president pekee.

Hiyo nafasi mbona ndogo sana!!

Mkuu wako wa nchi ni muislam..Nini kipya?

Nasikia aliwakwaza sana Viongozi wa juu wa CCM alipokuwa anataka kugomea ku-standerdize ili idadi ya ufaulu iongezeke na kutoa taswila nzuri ya Elimu hivyo kukifanya chama kiendelee kuaminika

Tunasomeshwa kuhusu uadilifu toka madrasah, hapo hautuingii hata umalize vyuo vikuu vyote alivyotembelea Slaa.
===>Ningependelea nafasi hii apewe Muislamu ili tuone kama inawezekana ile shule iliyopo pale SUWATA (Kariakoo) kama inaweza kutoa div i zote
 
Utakuta mtu wa namna hii anaongoza taasisi flani nyeti kwenye serikali.sikujua kuwa wakati mwingine huwa tunajibishana kwenye hoja za kisiasa na mtu mwenye fikra fupi za namna hii....Ukweli uwezo wako kiakili ni wa kutilia mashaka na una chuki ambazo huwezi kukaa na mtoto ambaye si wako katika nyumba yako....

Kwa comment yako hii,umetia aibu na umeonesha wazi uwezo na upeo wako unapofikia

Wrong. Mimi nilifanya kazi miaka mingi sana lakini sio Serikalini, kwa sasa ni semi retired (nachukuwa kazi moja moja za "consultancy", na nnakula nilichokichuma na nilichokirithi kwa wazee wangu, mashamba mkoa wa pwani na nyumba, Kariakoo, Ilala, Magomeni, Mbezi beach, Msasani na Sinza. Waliona mbali eeeh?
 
Mu country Tanzania where are we heading?! Only God knows (BTW not Allah kwasababu kule Malaysia ni WAISLAMU tu wanaruhusiwa kutamka neno Allah. Non-muslims ukitamka neno Allah it is an offense punishable before the court of law!)

Mkuu hapa kwetu wajinga ndo hulazimisha kuwa Mungu ni sawa na allah na Yesu ni Isa. Wanaacha Koran wanasoma eti 'kukosoa' Biblia! Mfano mzuri ni mzee Yusuph Makamba, kila hotuba yake ananukuu Biblia na Koran. Mjinga sijasema mpu.mb.avu
 
we bibi kajipange mnaonewa kivipi?? mimi nimesoma na waislam vichwa na kweli walifaulu hivo hivo kwa max za juu tulizotarajia ss unaposema walionewa em fafanua....pepa zinasahihishwa zikiwa na namba za mtihani si majina, hata hivo hamna mtu mmoja anaesahihisha maswali zaidi ya mawili mtihani mzima, ss em niambie huyo director(ndelichako) atafanyaje fanyaje ili kukata max za hao waislam???

kama ni seminary za kiislam kushika mkia, hilo lipo wazi hata katika level ya mock hushika mkia hivo hivo, hata kwa kanda hua hivo hivo na kwote huko husahihishwa na jopo la walimu wanaotoka katika shule hizo ndani ya hiyo kanda(including from those islamic seminary)

Unauliza tunaonewa kivipi na Ndalichako? soma hapa: Home
 
Back
Top Bottom