Habari mbaya hiii kwa maendeleoa ya elimu kwa watanzania ,,,, pamoja na kazi nzur aliyofanya huyu mama maeambulia hayo ama kweli wabaya wako unakula na kucheka nao ila sifa nautukufu wa kazi yake iliyotukuka utaenziwa japo kwa sain zake zilizopo kwenye vyet mbali mbali vya wahitimu.... Inaumiza sana