Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

watanzania tunatatizo la kutopenda kusoma! labda wengine hawaelewi maana ya sabbatical leave
then watu hapa wanaongelea ushabiki wa kidini tu
 
Waislamu bwana sijui wana akili gani yaani wao kazi yao ni kulalama tu bila sababu, fundishen wanafunzi elimu ya kuwasaidi sio kufundisha kujiripua aaaarghr'
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Bora umenena ili wasiokujua waendelee kukujua vizuri. Hivi una habari kuwa katika kipindi alichofanya kazi huyu mama kuna watoto wa kikristo ambao wana uwezo mkubwa tu darasani hawakufaulu? aidha hawakusaishiwa vizuri mitihani, au walibadilishiwa matokeo au walipanick wakashindwa kuperform; unafikiri wao walimfurahia sana huyu dr. kwa kuwa ni mkristo mwenzao pamoja na kutokujua hatma zao? Omba Mungu akupe akili zaidi kuliko kuomba mwanadamu akupe favour kuliko unavyoonekana unatamani favour kuliko uwezo wako.
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

Hizi ndo taarifa za kufanyiwa kazi...sio ule umbea wa Facebook ati kaacha kazi/kaondoka NECTA. Big up Kwa kuwaondolea wingu wazushi.
 
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

Tatizo bado halijaondoka kabisa.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
We m-bibi sijui wajukuu zako wanajifunza nini toka kwako.Unatia aibu sana even after menopause bado una n.y.e.g.e tu?
 
Wanajifunza kusema ukweli.

Ulitaka wajifunze matusi kama ufanyavyo? Kumbuka; bila mama'ko na baba'ko kuwa na hizo unazozisema usingekuwepo duniani.
 
Bora umenena ili wasiokujua waendelee kukujua vizuri. Hivi una habari kuwa katika kipindi alichofanya kazi huyu mama kuna watoto wa kikristo ambao wana uwezo mkubwa tu darasani hawakufaulu? aidha hawakusaishiwa vizuri mitihani, au walibadilishiwa matokeo au walipanick wakashindwa kuperform; unafikiri wao walimfurahia sana huyu dr. kwa kuwa ni mkristo mwenzao pamoja na kutokujua hatma zao? Omba Mungu akupe akili zaidi kuliko kuomba mwanadamu akupe favour kuliko unavyoonekana unatamani favour kuliko uwezo wako.

Kama u Mkristo nna uhakika unaijuwa maana maana ya "sacrifice".
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kitu nimegundua siku za hivi karibuni FaizaFoxy umekuwa mharibifu wa mjadala kwa kutanguliza udini,nilikuwa napenda comment zako lakini sjui nini kimetokea,kwa sababu siamini kwamba issue kama hii huelewi au ndio blanketi la udini!!
 
acheni kupandikiza chuki za kidini na visingizio vya udin Kwan ni waisilamu wangap wamefaulu kwa necta hiyo hiyo tangu iundwe we kama ujiwezi tafuta Sababu na co dini hata wakimweka sheikh mkuu kwenye hiyo nafasi kama mwanfunzi ni kilaza kamwe hawezi faulu,fungukaa kijana!!!!!!!!!?

Ndalichako alikuwa na kashfa ya kufelisha Waislaam kwa makusudi kabisa, kushtukiwa akajidai eti kompyuta. Khaa!

Tena hapo ndio kaona haya anajidai sabbatical leave. Huyo ndio bon voyage.
 
Kwa hiyo tusiokuwa na dini unataka kutuambia nini?? Acha udini!

Hakuna asiyekuwa na dini labda huijuwi maana ya dini. Hata kama huabudu basi hiyo ndio dini yako, kuto-kuabudu.

Nenda kajifunze ni nini maana ya dini kabla hujaongelea dini.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Mohamed Said faatani atafaa sana pale maana atagawa maksi kama njugu!
 
Back
Top Bottom