Mzalendotz20
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 109
- 113
Oyeee ✊mambo ni Mubashara CCM oyeee
Oyeee ✊mambo ni Mubashara CCM oyeee
Vipi Alikiba ameshapanda jukwaani
Na ww si unapanda au?
Nimefurahi sana kuona Magufuli anaenda kabla ya Lissu. Namsubiri Lissu aende awakumbushe matatizo yao! Good one!
TECNO Imeshafanya yake huko hahahaUwanja wa ndege wa chato unao tua ndege moja kwa mwaka oyyyyyeee
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
No nilitaka nijuwe ili niingie kwenye link kumcheki huyo tu
CCM hoyeee. Mungu kaibariki Tanzania kutupatia JPM. Hakuna Kama yeye never
Basi sawa mkuuIngia usikilize na sera
Naona ID mpya tupu hapo juu.
BABA LAONimefurahi sana kuona Magufuli anaenda kabla ya Lissu. Namsubiri Lissu aende awakumbushe matatizo yao! Good one!
Ingia usikilize na sera
Ww ulisikia wap kwamba inatua ndege moja?
Vipi Alikiba ameshapanda jukwaani
Hivi hii ni mikutano ya kampeni au Fiesta za wasanii?
Tetemeko limetokea,mkaambiwa serikali itawejengea nyumba zenu wengine mkaenda kuzibomoa nyumba zenu mkijua serikali itawajengea,nawaambia hatalipwa mtu hata mmoja mwafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa-Mkulu.Kumekucha mmeshaanza yenu kama kawaida