Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Mikutano ya Magufuli saa 12 watu wamejaa uwanjani!! Mikutano ya Tundu Lisu haijawahi kufata muda maana anabembelezea wapita njia!! Wapita njia wakijaa ndio na picha zinapigwa na ndipo mgombea anaingia. Chezea CCM weweeee!! Halafu mseme mmeibiwa kwa kuvizia wapita njia.

Queen Esther
Malori yanawaisha sana wana-ccm! Swala la wizi wa kura, litasababisha matatizo makubwa kwa nchi yetu, na hakuna Mtu mzima anapaswa kulishabikia!
 
Hata kama ushindi akipata ila jasho limemtoka.nadhani siasa zinanza kurudisha heshima yake.siyo simpo simpo tena.hakuna kura ya kirahisi.Hii ni Tanzania ya watanzania wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka
Na huyo KOKA,ni kutetea biashara zake zaidi.vinginevyo akikosa tuu ubunge trust me TRA,wataenda kufanya ukaguzi wa mambo ya kodi pale AKO na kampuni zake zingine
 
Huyu kidume kweli kweli.... Mikutano 10 kwa siku sio mchezo haswa, lile gari la mkaa pale Lumumba haliwezi hata kidogo, lazima lipate break down kila baada ya mita 100..
 
Back
Top Bottom