Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Lissu ameji overdose sana na hii campaign. Ndio maana nadhani hataki wizi utanyike maana nguvu nyingi kapoteza na inaonekana km mpigania dini flani wale waliotayari kufa kwa haki.
Ndio maana haogopi.
Huyu jamaa kaamua aisee.
Umeandika nini hapo ?
 
23 October 2020
Lindi, Tanzania

Mgombea Urais 2020 Tundu Lissu asimulia jinsi mamlaka za Usafiri wa Anga Tanzania zilivyozuia Helikopta yake kuruka


Mamlaka za Udhibiti wa Safari za Anga ziliona kuwa kutakuwepo 'Kimbunga' katika maeneo ambayo mgombea wa Urais Tundu Lissu na timu yake walipanga kwenda kufanya kampeni katika mikutano kumi leo 23 Oktoba 2020 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Hivyo kwa muda mrefu helikopta ya kampeni ya CHADEMA anayotumia Tundu Lissu kuzuiliwa kuruka kwa muda muafaka .

Hii ilitokana na Mamlaka za Usafiri wa Anga Tanzania kuhofia usalama wa chombo na abiria VIP kama Tundu Lissu na hivyo kuchukua tahadhari mpaka pale walipojiridhisha vifaa kama Rada , Vipimo vya Kasi ya Upepo na Hali ya Hewa vilipoonesha kuwa hali ni shwari kwa Tundu Lissu na msafara wake kupaa angani.
 
Katika hali inayoonyesha kuwa serikali ya CCM sasa imekosa legitimacy (uhalali) kwa umma,na imechanganyikiwa Leo imefanya kitendo kingine cha aibu ya karne.

Kwa kutumia jeshi la polisi wamepiga wananchi mabomu katika maeneo mengi ya kampeni zake huko kusini bila sababu za msingi wakati wananchi hao wakiwa kwenye mikutano halali kabisa ya kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ili kuvuruga mikutano halali ya mgombea wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu.

Ukiachilia Somanga, hali ya kupigapiga wananchi waliokuwa wakimsubiri Lissu imefanyika maeneo mengi mikoani humo na kusababisha taharuki na mshangao mkubwa kutoka kwa wananchi ambao walikuwa na hadhara halali ya kusikiliza mgombea kama ambavyo wananchi wa maeneo mengine ya nchi wamepata fursa.

Lisu alikuwa na ziara katika maeneo ya Masasi, Newala, Kibiti, Mkuranga, Tandahimba n.k
Ukiachilia mbali Lindi ambapo mkutano umefanyika, hata hivyo Mikutano ya Lissu imefanyiwa vurugu kubwa na jeshi la polisi ambapo wananchi wamevurumishiwa mvua ya mabomu ili kuwaondoa wasimsikilize Lissu
Kwa kweli hili linashangaza sana, CCM wana hofu gani na watu wa kusini?-Wao ndo waliwaumiza kwa kupora korosho zao, kuwapiga kwa sababu ya gesi yao na kuharibu zao lao la ufuta, Sasa wanajaribu kuficha aibu yao kwa kuzidisha uonevu juu ya uonevu kwa watu wa kusini

Msikilize Tundu Lissu hapa akielezea mkasa wa piga piga iliyowakumba wananchi wa maeneo mbalimbali siku ya leo ili kuwatimua wasisikilize mkutano wake.

HIVI NI LINI SERIKALI YA CCM ITAACHA UONEVU DHIDI YA WATU WA KUSINI?

 
Huyu mh rais wetu JPM kwa sasa hatakiwi Mbeya , Lindi, Mtwara, Pemba , Mara, Arusha , Kilimanjaro, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu , Iringa, Manyara , Dar , Kigoma etc naona ni bora angeanza kufungasha arudi kwao Chato.
 
..Jiwe hajafika mikoa ya kusini, hivyo juhudi zinafanyika TL naye asifike huko.

..Kama mtakumbuka kipindi alichokuwa amefungiwa kwa siku 7 alitakiwa akampeni mikoa ya Kusini.

..Tuombe DUA kwamba hujuma hizi zisiwe na madhara ya kumpunguzia TL kura.
 
Kwa Membe ambaye Lissu kampora ugombea uraisi wake ? Mwambie hivi amsalimie member.Kwa hiyo anaenda kuringishia Membe kuwa Mimi ndie Lisu niliyekupora ugombea uraisi?
Utajiju na mgonjwa wako MEKO kaogopa kuja NTWALA NEWALA RUANGWA kwenye moshi mweusi😃😃
 
Hawa makada wanaozunguka kwenye vituo vya kupigia kura wakiwa na orodha ya watu walokufa na kuchukua namba zao NI kwa ajili ya matumizi gani?
Wanataka kuvuruga uchaguzi
 
Back
Top Bottom