Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,145
2,000
Ndio Maana walikuwa wakimtesa na kumfunga kumpiga risasi kumbe Waisilamu wanampenda sana huyu Sheikh.
Asee hata Mimi nimeanza kukuelewa huyu Sheikh, Nimemuelewa kuwa ana elements za harakati lakini pia ana ushawishi mkubwa kwa dini yake..

Ninachoshangaa nikuwa hajasapoti Cuf Bali chadema Ni wazi ana malengo ya Dhati siyo Ushabiki.
 

Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,810
2,000
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi.

Endelea kubaki hapahapa JF kwa Taarifa za uhakika


==========
Kanyaga twende TL. Mungu akutangulie.
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,385
2,000
Amekiri kuwa anayo tiketi ya kwenda kuelekea Brussels...sisi tutamchagua JPM kwa kura nyingi.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 

lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
449
500
Alishindwa Lowasa sembuse na wewe. Endeleo kula Maisha huko ng'ambo.
Yesu na Maria Acha kuishi kwa mazoea mamaa angu

Karbu sana kwenye timu ushindi
Screenshot_20201023-075055.jpg
Screenshot_20201023-075039.jpg
Screenshot_20201023-075118.jpg
Screenshot_20201023-075143.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,860
2,000
Asee hata Mimi nimeanza kukuelewa huyu Sheikh, Nimemuelewa kuwa ana elements za harakati lakini pia ana ushawishi mkubwa kwa dini yake..

Ninachoshangaa nikuwa hajasapoti Cuf Bali chadema Ni wazi ana malengo ya Dhati siyo Ushabiki.

..kilichomvuta ni rekodi na historia ya TL ktk masuala ya kutetea HAKI.

..TL ameanza kutetea wananchi toka enzi za Mkapa alipowatetea wavuvi wadogo-wadogo wa Rufiji delta.

..alikuja kupata umaarufu wakati akitetea masuala ya madini, lakini ameanzia harakati wakati wa sakata la kukodisha delta ya mto Rufiji.

..Na tangu wakati huo TL hajatetereka ktk misimamo yake kwenye masuala yanayohusu HAKI za wananchi.

..Kuhusu suala la Mashekhe ni wanasiasa wachache sana wamejitokeza waziwazi na kuwatetea. Siyo sahihi kuwaweka watu kizuizini miaka 6+ bila shauri lao kuanza kusikilizwa mahakamani. Hata Barack Obama alipogombea mara ya kwanza aliahidi kulifunga gereza la Guantanamo Bay wanaposhikiliwa bila kikomo watuhumiwa wa Ugaidi.

..Naamini Sheikh ameafuatilia historia hiyo na kujiridhisha kwamba TL ni mwanasiasa wa kipekee hapa Tz, na anastahili kuungwa mkono.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,377
2,000
Askofu Mwamakula asema "Penye ukweli uongo hujitenga amesisitiza kuwa kura zote kwa Tundu Lissu na Salum Mwalimu"
 

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,481
2,000
Kweli chadema mmeuza nchi kwa vipande vya dhahabu...mnabahati Rais magufuri Ana huruma..nyerere angeshawapa kesi ya uhaini...mnapata wapi billion 25 ya kumlipa huyu mtu

Amsterdam and Partners will represent Attorney General Reinaldo Munoz Pedroza after Florida-based law firm Foley & Lardner dropped the Venezuelans last month amid a political backlash in Washington. The firm also transferred $1.05 million it hadreceived from Venezuela to Amsterdam, according to a newly disclosed letter to the US Justice Department.ey & Lardner’s contract called for the firm to be paid a total of $12.5 million for help “delisting parties subject to US economic sanction due to their connections to the republic.”
...
 

baby s

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
442
500
Mikutano ya Magufuli saa 12 watu wamejaa uwanjani!! Mikutano ya Tundu Lisu haijawahi kufata muda maana anabembelezea wapita njia!! Wapita njia wakijaa ndio na picha zinapigwa na ndipo mgombea anaingia. Chezea CCM weweeee!! Halafu mseme mmeibiwa kwa kuvizia wapita njia.

Wanajaa mapema wapate nafasi ya kuwaona vizuri wasanii,kama mnajiamini jaribuni kufanya mkutano hata mmoja bila wasanii afu utuketee mrejesho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom