Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Tuseme alikuwa muumini wake? Hizo sasa sifa mbaya. Mpeni marehemu heshima kulingana na mahali alikuwa anaabudu.

Gwajima hana luturijia ya mazishi wao kazi kuongea ongea tu. Mbona lakini.
 
Naomba Mh Rais atoe neno la kufukuza hofu ya mapepo ya homa Kali.

Na kumbuka ile spichi ya mapapai ilikuwa game changer hofu yote ikatoweka.
 
Inaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
 
Kwanza tuambieni Jiwe yupo?au Bado kajificha uvunguni?

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa misiba
 
Huu msiba unachekesha, Polisi wa kawaida wamevaa barakoa, wengine wanaona aibu. JK yeye hajataka unafiki kavaa
 
JK kavaa barakoa.
Jk yuko smart anajiongeza, hawa wengine wanaogopa kutumbuliwa lakini body language yao tu unajuwa waoga mbona mikono hawapeani ila kuvaa barakoa wanaona issue, raia wa kawaida na wana kwaya wamejongeza wameshaona tunapotezwa. Shame kwa viongozi wa serikali. kusalimiana no ila barakoa.... ujinga wa kiwango cha lami
 
Huu msiba unachekesha, Polisi wa kawaida wamevaa barakoa, wengine wanaona aibu. JK yeye hajataka unafiki kavaa
 
Vipaumbele vya hili taifa vimekuwa ni kuuza Sura....., tusipoangalia tutakuta tunainvest zaidi kwenye kuagana wakati mtu ume-RIP kuliko kusaidiana wakati tupo hai ?

Nina uhakika hizo bajeti / pesa / muda na usumbufu kwa wafiwa hata ungemuuliza marehemu huenda angesema hizo pesa mpeni mke wangu na ndugu zangu ziwasaidie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…