Mpwa hata Bible inasema wenye nguvu ndio watakaoshinda komaa
hata wewe utajifuna kitu
siri ya mtungi nimeipata lol
Hahahaaha achana na hiyo topic. Hujambo?
mpwa Mamnndenyi ni mstaarabu sana. Tumeongea mengi sana Jana, ule usemi wa usikatae wito kataa maneno ulifanya kazi vizuri jana. Kikao chetu cha kwanza kilikua very fruitful, kwasasa niko kwenye probation. so naomba nisiongee sana nije nikakosea sehemu
Jamani kupendwa raha.Uwiiiii hadi nimekutamania Mamdenyi