Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Heeee mama watoto mbona waja juu hivyo..? Hukuniambia lkn kama uliangalia huko kliniki..

yani wewe?!?! hivi nikikuacha ntalaumiwa kweli???
mtu hata hujui clinic naendaga ama vipi!!?
heeeeee..............
 
chama, mbona nasikia wewe umeutoroka msafara wa Kinana na umeenda Samunge kula kikombe?
si bora ungeaga tu, wote tunakuombea uponywe matatizo yako ya mwezi mchanga

Chama hanywi maji machafu natumia kilimanjaro kukata kiu; huko tunakwenda kutangaza sera za chama; jamaa yangu ulimshiriki sana Bishanga kuvua vidagaa Coco beach sasa afya yako inaleta mgogoro nakushauri anza matibabu haraka kabla mambo hayajaharibika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom