Yaani huyu Mamndenyi huyu!

Yaani huyu Mamndenyi huyu!

nakuwa na majukumu mengi kweli parokiani...sipati nafasi ya kutoka....labda tuyazungumze hapa hapa hayo ya kwenye kidate
mwallu, hivi kale ka date nilikoomba ndio umekapotezea??
 
Last edited by a moderator:
Ni kama nimemaliza maswali yako hapa chini;
je moyo wako uko sawa sasa?
wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu?
Hivi unajua kama nakupenda sana?
Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja

yaani hujawahi kunifanyia kitu
 
Back
Top Bottom